mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
haiwezekani Mungu wakawa wawili..Hii hoja umeitoa wapi? Kwenye Quran au hadithi? Allah hakuwahi kuwa Mungu wa wayahudi.
Kwa sababu Mungu ni mmoja na wa pekeeKwa nini hawakuwa wanatumia hakuna mwingine ila allah na Yunus/Daud/Adam/Yakub n.k ndiye mtume wake??
Miungu ipo mingi tu , wahindu wana miungu kibao,waafrika tuna miungu yetu. Ndiyo maana kwenye amri ya kwanza ya 10 za Yahweh anasema,usiwe na miungu mingine isipokuwa mimi.haiwezekani Mungu wakawa wawili..
Mungu ni mmoja ndo maana katuma mitume ambao hao hapo wanapatikana kwenye uislam ,ukristo na uyahud
Shida inaanza pale Allah anapotaka kujivika umungu wa Yhwh wakati yeye anaishi ndani ya Kaaba kule saudia.Miungu ipo mingi tu , wahindu wana miungu kibao,waafrika tuna miungu yetu. Ndiyo maana kwenye amri ya kwanza ya 10 za Yahweh anasema,usiwe na miungu mingine isipokuwa mimi.
Ujinga wa SGR 😂😂😂😂.Shida inaanza pale Allah anapotaka kujivika umungu wa Yhwh wakati yeye anaishi ndani ya Kaaba kule saudia.
Mwamedi anadiliki kumnyanganya Yhwh manabii na kumpa Allah kufuru kubwa hii!
Miungu ya wahindu wameimba nini?Miungu ipo mingi tu , wahindu wana miungu kibao,waafrika tuna miungu yetu. Ndiyo maana kwenye amri ya kwanza ya 10 za Yahweh anasema,usiwe na miungu mingine isipokuwa mimi.
Ukifuatilia dini yao , miungu yao imeumba dunia na kila kitu ndani yake.Miungu ya wahindu wameimba nini?
Sasa kutakuwa na Mungu wangapi walioumba Dunia?Ukifuatilia dini yao , miungu yao imeumba dunia na kila kitu ndani yake.
Unajuaje kwamba Mohamed aliongea na jibril? Yule kiumbe kule pangoni haku jitambulisha,aliyempa jina la jibril alikuwa mzee Waraq.
Mohamed alivyorudi nyumbani kwa Hadija alikuwa na hofu kubwa ,alidhani amekutana na jini . Akaomba mkewe amfunike na mashuka kitandani.
Mzee Waraq ndiye alisema yule atakuwa ni jibril ambaya alikutana na Musa hapo zamani. Ukisoma torati hakuna sehemu imeandikwa kwamba Musa aliwahi kutana na jibril.
Kama Mohamed asingepelekwa kwa Mzee waraq basi kuna uwezekano yule kiumbe angepewa jina lingine. Chanzo cha dini yenu kinatia mashaka sana, Mohamed alikutana na shetani aliyejifanya ni malaika .
Ukisema vitabu vyetu vime chakachuliwa basi mlaumu Allah ambaye alimtuma Mohamed kwetu kutuuliza kama ana mashaka.
Quran 10:94
Quran 5:47
Quran 47:53.

Uislamu ni utapeli!atizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.
Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac etc
Nani alimwambia mwamedi kuwa yule ni JibrilMmedanganywa Kwa kuletewa dini ya uongo na Wazungu na Sasa mnadanganywa kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule yao
Ngoja nikufundishe Ili usidanywe tena
First time malaika Jibril anakuja Kwa mtume alimkuta pangoni na alikuja na hizi Aya 5 za Quran
Quran 96:1 - Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
96:2 - Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
96:3- Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
96:4 - Ambaye amefundisha kwa kalamu.
96:5 - Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Baada ya hilo tukio mtume akiwa hofu na kujiuliza maswali mengi kuhusu kilichomtokea pangoni
Mara ya pili Malaika Jibril akaja tena nyumbani Kwa mtume na hizi Aya
Quran 74:1 - Ewe uliye jigubika!
74:2 - Simama uonye!
74:3 - Na Mola wako Mlezi mtukuze!
74:4 - Na nguo zako, zisafishe.
74:5 - Na yaliyo machafu yahame!
Na Baada ya hapo Malaika Jibril aliendelea kuja Kwa mtume Muhammad Hadi Quran yote ikakamilika na Quran ilikamilika Kwa muda wa miaka 23
Inawezekana mtume Muhammad ndio Nabii aliyekutana na Malaika Jibril mara nyingi zaidi kuliko manabii wote
Sasa nyinyi jinsi mnavyodanganyana kana kwamba Baada ya Malaika Jibril kumtokea mtume Muhammad pale pangoni hakuja tena sio hivyo aliendelea kuja Kwa mtume Kwa muda wa miaka 23
Ni suala la muda tu....Uislamu ni utapeli!
Maandiko ambayo umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha yanasema Yule Malaika JibrilNani alimwambia mwamedi kuwa yule ni Jibril
Yani Muhammad na uislam wake una miaka 1400 ila Kila binadamu aliekuwepo kabla ya 1400 Kwa mujibu wa Quran alikuwa ni Muislam...Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani
Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki
Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo
Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
Mungu anatoa updates kama Window za Microsoft!Tatizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.
Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac etc
Wewe ndio mbumbu kabisaYani Muhammad na uislam wake una miaka 1400 ila Kila binadamu aliekuwepo kabla ya 1400 Kwa mujibu wa Quran alikuwa ni Muislam...
Hiki kichekesho ni balaaa
Kuna dini zipo miaka 3000 kabla ya uislam.
Na je kama Hadi Yesu alikuwa muislam je wauslam mnaweza kwenda kanisani ?
Dini zote zimeanzishwa na wanadamu. Hadi sasa inakadiriwa kuwa kuna dini zaidi ya elfu kumi.Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.
Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.
Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Nini maana ya neno Uislam na Muislam?Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.