daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,479
- 3,405
Siyo kweli mitume wote wa Yesu waliuawa kwa Yohana mwana wa Zebedayo alikufa kwa uzee huko Uturuki (Efeso)Wewe ndio mbumbu kabisa
Unalo andiko Yesu aliwahi kuingia kanisani?
Yani hata haujui kuwa ukristo umeanza miaka 30 Baada ya Yesu kupaa?
Na Ilikuwa Ili Warumi waanzishe ukristo ilibidi wawaue wanafunzi wote wa Yesu
Na ndio maana hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyekufa kifo Cha kawaida wote waliuawa na hiyo kazi ilifanywa na Warumi
Nani alimwambia kuwa yule ni Jibril?Maandiko ambayo umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha yanasema Yule Malaika Jibril
Kwa hiyo binadamu anaweza kuwa mtu kabla hata hajazaliwa?Imani yangu ni kwamba,duniani huwa hakuna swali la kijinga.Naomba unijibu hapo.Hiyo Sasa ni kazi yako utumie hiyo Bibilia yako uikosoe Quran kuwa imedanganya Kwa kusema hao manabii wote ni waislam
Kama Bibilia imekuwa bubu katika hizo hoja za Quran hauoni kuwa haya maji ni marefu kwako?
Wewe nenda tu kanisani ukaimbe, upige makofi na kulia usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
Yaani hapo ni sawa na unamtetea mwizi kwa kusema, "kwa kuwa kasema mwenyewe kwamba hajaiba, basi hajaiba"NABII NUHU, IBRAHIM, MUSA NA YESU
WALIKUWA WAISLAM
Quran 42:13
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
NABII IBRAHIM NA WANAWE YANI ISHIMAEL NA ISAKA WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
NABII YAAQUB NA WANAWE WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
Haya ndio maelezo ya Quran kitabu ambacho ni kiboko ya makafiri
Sasa kama wewe ni kidume vunja hizo hoja za Quran hapo zinazosema hao manabii na vizazi vyao wote walikuwa waislam
Weka ushahidi hapa kama walikuwa wakristo kama wewe au walikuwa na dini ya kiyahudi au kama walikuwa wapagani weka hapa ushahidi
Kweli kabisa, lugha zote zipo kwa uwezo wa Mungu halafu wao waseme Mungu anaongea kiarabu na peponi ni kiarabu tuuu, hawa maamuma hawana kabisa ufahamuMuislamu yoyote ansye amini katika uislamu awezi kuwa na akili ....dini ya lugha ni uislamu pekee dini ya kweli ya mungu haiwezi kuwa kwa lugha moja...
Ukristo ni dini ya wazungu? Uislamu kwa sababu ni dini ya waarabu ndiyo inafanya iwe dini ya kweli? Ukweli ni nini?Mmedanganywa Kwa kuletewa dini ya uongo na Wazungu na Sasa mnadanganywa kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule yao
Ngoja nikufundishe Ili usidanywe tena
First time malaika Jibril anakuja Kwa mtume alimkuta pangoni na alikuja na hizi Aya 5 za Quran
Quran 96:1 - Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
96:2 - Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
96:3- Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
96:4 - Ambaye amefundisha kwa kalamu.
96:5 - Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Baada ya hilo tukio mtume akiwa hofu na kujiuliza maswali mengi kuhusu kilichomtokea pangoni
Mara ya pili Malaika Jibril akaja tena nyumbani Kwa mtume na hizi Aya
Quran 74:1 - Ewe uliye jigubika!
74:2 - Simama uonye!
74:3 - Na Mola wako Mlezi mtukuze!
74:4 - Na nguo zako, zisafishe.
74:5 - Na yaliyo machafu yahame!
Na Baada ya hapo Malaika Jibril aliendelea kuja Kwa mtume Muhammad Hadi Quran yote ikakamilika na Quran ilikamilika Kwa muda wa miaka 23
Inawezekana mtume Muhammad ndio Nabii aliyekutana na Malaika Jibril mara nyingi zaidi kuliko manabii wote
Sasa nyinyi jinsi mnavyodanganyana kana kwamba Baada ya Malaika Jibril kumtokea mtume Muhammad pale pangoni hakuja tena sio hivyo aliendelea kuja Kwa mtume Kwa muda wa miaka 23
Miungu ipo mingi tu na haina idadi,kwani ipo iliyokufa pia kama ile ya wagiriki wa kale. Zeus, Athena ,Hera,Appolo.Sasa kutakuwa na Mungu wangapi walioumba Dunia?
maana yehova ana sema Dunia kaumba yeye ALLAH nae anasema Dunia ya kwake.
Je Hawa wapo wawili au ni mmoja ila sisi ndo tunamtenganisha?
Achaana na hao.hata mitume hawana.wengine misanamu tu.Miungu ipo mingi tu na haina idadi,kwani ipo iliyokufa pia kama ile ya wagiriki wa kale. Zeus, Athena ,Hera,Appolo.
Sio hakubaliani na Mimi sema hakubaliani na maandiko ya Quran Mimi nimeweka tu hayo maandikoYaani hapo ni sawa na unamtetea mwizi kwa kusema, "kwa kuwa kasema mwenyewe kwamba hajaiba, basi hajaiba"
Kumbe kujua kwamba hajaiba ilibidi utafute uthibitisho kutoka kwa watu wengine.
Muhammad kaanzisha uislam Kisha akawavika manabii wote uislam. Hebu lete kitabu chochote cha kabla ya Muhammad kinachosema hao jamaa walikuwa waislam nitakubaliana na wewe ila kama unaleta Aya za kitabu cha kujitungia (Quran) sikubaliani nawe.
Kafiri ni wewe unayesema "Hakuna Mungu isipokuwa Allah"Sio hakubaliani na Mimi sema hakubaliani na maandiko ya Quran Mimi nimeweka tu hayo maandiko
By the way kwani Kuna mtu amekushikia fimbo kuwa lazima uamini kilichosemwa na Quran
Hayo ni maandiko umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha kuamini au kutoamini hiyo ni juu yako
Tokea lini kafiri akaiyamini Quran
Wewe ndiye unasema hawana mitume,umeshawahi kuchunguza dini zao?Achaana na hao.hata mitume hawana.wengine misanamu tu.
Yaani binadamu aliposhindwa kufikiri akaamua kujiundia miungu ya uongo ila mwenyewe yupo
Yesu ndio aliingia kwenye makanisa, kipindi kile sehemu ya kukusanyikia kwa wayahudi yalikuwa ni synagogue.Wewe ndio mbumbu kabisa
Unalo andiko Yesu aliwahi kuingia kanisani?
Yani hata haujui kuwa ukristo umeanza miaka 30 Baada ya Yesu kupaa?
Na Ilikuwa Ili Warumi waanzishe ukristo ilibidi wawaue wanafunzi wote wa Yesu
Na ndio maana hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyekufa kifo Cha kawaida wote waliuawa na hiyo kazi ilifanywa na Warumi
Sio tu kuchunguza na kuzijua.hakuna miungu ya Sanam yenye mitume Wala manabiiWewe ndiye unasema hawana mitume,umeshawahi kuchunguza dini zao?
UIslamu unamtambua Yesu ?Mungu hajawahi kumtuma mtume anayeitwa Mwamposa
Waislam wa kipindi cha Nuhu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Nuhu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Waislam wa kipindi cha Musa shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Musa ametumwa na huyo Mungu mmoja
Waislam wa kipindi cha Yesu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Na Yesu kwakuwa alijua hi ndio nguzo kubwa katika uislam aliwafundisha Wana wa Israel
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Hapo Yesu anatoa na kufundisha shahada
Hata wewe kama utalikubali hilo andiko hapo kuwa Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Automatically unakuwa muislam kama Yesu
Sio Yesu tu! Quran inatambua tokea Mariam mwenyewe akiwa bado mimba katika tumbo la mke wa ImranUIslamu unamtambua Yesu ?
Hii hoja waislamu mnaitumia kwa baadhi ya maswala tu ila sehemu nyingine mnaikimbia ...mfano kwa hii hii hoja yako kama ni kweli basi kuna maswali kadha wa kadha ndani ya uislamu inatakiwa kunyoshwa...maswali ni haya...atizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.
Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac etc