Mahakama itaamua wenyewe wanaijuaje wakati haujawapelekea cheti cha ndoa ya kwanza?Wanataka hati ya talaka mkuu vinginevyo wanasema ndoa wanayoijua ni ie ya kwanza ambayo ni yamke mmoja
Our life is uncertain,Kwa nini ulio mgonjwa
Mkuu walikupa hati ya maandishi inayoeleza kifungu cha sheria kuhusu hiyo penalty au maelezo ya mdomo?Asante sana mkuu
Pole sana bro, kuna kipindi nilikuwa kama wewe nahubiri haki natenda haki.Ila mwisho wa siku haki haipo duniani.
Pesa(grisi) ndio kila kitu na apenyezae rupia mambo yake mukide ila wapenda haki kama TAL wapo jela wananyea debe na dunia yote ipo kimya watu wanaendesha magari ya mamillioni na mabillioni katika nchi maskini isiyo na msaada kwa walahoi huku huduma za msingi bado ikionekana kama anasa.
The fact jamaa anataka kutoka kwenye hicho kitendawili mimi nimempa uhalisia wa ground na wa hapo nyumbani Tz.
The system is wrecked, no way out but just do anything to survive.
Mkali wa FACT na FALSAFA UTANIWIA RADHI.BONGO KWA SASA TUPO KWENYE SURVIVAL MODE!!!
Mahakama wanaweza kupata taarifa za ndoa ya kwanza maana zipo RITA, mbona NHIF wamepata ilihali hakuwaambia?.Mahakama itaamua wenyewe wanaijuaje wakati haujawapelekea cheti cha ndoa ya kwanza?
Kwahiyo kama mtu alifunga ndoa ya jadi ya kwanza baadae akafunga ndoa nyingine ya serikali akapeleka cheti nae huyu watamwambia wanatambua ndoa ya jadi ?
Hao wamejichanganya kwako wapeleke kwa pilato naiona pesa ndefu ya fidia unakula hapo wewe ni milionea mtarajiwa aaah aaah aaah
Sio mgongo tena?📌KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!
Mkuu mimi kulileta humu nikwasababu niliongea na wahusika na tukakubaliana kuwa nilikosea kutokuwa na talaka hivyo nitawajibika.Mwisho wa andiko langu nilishauri wenzangu wenye kesi kama yangu wajifunze. Sikutaka shortcut zaidi yakutekeleza maelekezo ya bimaWabongo wengi kama wewe ni watu wa kupenda rushwa, hata katika jambo linalowaumiza wao.
Rushwa imekuwa ni kama mfumo wa maisha tu. Na jambo la umma linaonekana kama jambo lisilo na mwenyewe.
Yani unamshauri kabisa mtu akatoe rushwa kwenye jambo ambalo ame abuse mfumo wa bima kwa ujinga wake, kwa namna ambayo inawaharibia watuniaji wengine wa mfumo huo.
Ndiyo maana mifumo hii inashindwa kufanya kazi.
Jamii nzima inakubali rushwa na njia za mkato. Wewe hata huoni aibu kuandika ushauri wa kumaliza suala hili kwa rushwa.
Huyu mwingine OP naye anaoa oa tu, hata haachi, hata hajui maana ya kuoa bila kuacha ni nini.
You can't be serious.
Kiranga anaishi kwenye mfumo ambao kila mtu anafuata sheria tofauti na Bongo hali halisi haiko hivyo.Pole sana bro, kuna kipindi nilikuwa kama wewe nahubiri haki natenda haki.Ila mwisho wa siku haki haipo duniani.
Pesa(grisi) ndio kila kitu na apenyezae rupia mambo yake mukide ila wapenda haki kama TAL wapo jela wananyea debe na dunia yote ipo kimya watu wanaendesha magari ya mamillioni na mabillioni katika nchi maskini isiyo na msaada kwa walahoi huku huduma za msingi bado ikionekana kama anasa.
The fact jamaa anataka kutoka kwenye hicho kitendawili mimi nimempa uhalisia wa ground na wa hapo nyumbani Tz.
The system is wrecked, no way out but just do anything to survive.
Mkali wa FACT na FALSAFA UTANIWIA RADHI.BONGO KWA SASA TUPO KWENYE SURVIVAL MODE!!!
Muda kama huu ilibidi jamaa akae karibu sana jf kwasababu yawezekana humuhumu jf kuna maafisa wa NHIF Kama hajapewa hati ya maandishi ya kudaiwa hiyo pesa , anaweza kuiomba ikiwa na muongozo wa kifungu cha sheria then aconsult na mwanasheria kwa ufafanuzi. Faini huwa haizidi 1MHata mimi binafsi sioni mantiki ya Bima kumlipisha gharama za matibabu na ingali mke wake wa kwanza hakuwa mnufaika kabisa wa Bima.
Ningeona foul kama mke wa kwanza angekuwa mnufaika. Hapa tatizo ni la Bima wanaona gharama wamefukua cheti cha jamaa RITA wakakuta ana cheti cha ndoa ya mwanzo.
Sasa hapo akipata divorce yake akapeleka Bima watakubali huyu mke mpya apate huduma?
PaleMkuu walikupa hati ya maandishi inayoeleza kifungu cha sheria kuhusu hiyo penalty au maelezo ya mdomo?
Mke wa kwanza hana shida yoyote kwenye hili. Anaendelea na maisha yake na wala hasumbui kwa chchotePole sana mkuu.Hilo limetufundisha wote kwamba,mambo ya kiofisi,hasahasa serikali,huendeshwa kwa taarifa rasmi kimaandishi/documents halali.Haukuachana na mkeo kiofisi rasmi/talaka mkononi.Kosa kubwa sana.
NB:Kuna mkono wa shetani katika hilo shauri lako hadi watu wa NHIF wakafuatilia na kutafuta kwa kukugonga nyundo za utosi.Narudia tena,pole sana mkuu.Mara nyingine kuwa makini na ucheze kwa steps!Sasa baada ya hapo yule mke wa kwanza inakaaje?
Mkuu,Mkuu mimi kulileta humu nikwasababu niliongea na wahusika na tukakubaliana kuwa nilikosea kutokuwa na talaka hivyo nitawajibika.Mwisho wa andiko langu nilishauri wenzangu wenye kesi kama yangu wajifunze. Sikutaka shortcut zaidi yakutekeleza maelekezo ya bima
Kumbuka huyu jamaa ni mwachama wa NHIF anayakatwa michango yake kila mwezi.Mkuu,
Kwenye hiki la kulaumu wanaooenda shortcut hili hata si lako, nilikuwa nalaumu wanaokushauri utie rushwa.
Najua wanaweza kujiona kama wanakuonea huruma, lakini kama kweli wanakuonea huruma wakuchangie tu hiyo milioni 10 utakazoshindwa kulipa.
Vinginevyo hapo kushauri utoe rushwa ni kushauri mtu a abuse the system.
Kama ni hivyo Bima Walijuaje?..Au alienda kukuchoma?.Hanufaiki
😄😄😄huu ndio uhalisia wenyewe mazingira yetu kivyetuvyetu tunasolve mambo namna hiyo hata kama hutaki mazingira yanakufosi.Kiranga anaishi kwenye mfumo ambao kila mtu anafuata sheria tofauti na Bongo hali halisi haiko hivyo.
Sidhani kama Marekani akisimamishwa na traffic atatowa dollar 50 kumpa ya soft drink, lakini akiwa Bongo akisimamishwa na traffic mwenyewe atatowa mwekundu wa Msimbazi hiyo ni fact.
Ni maelezo ya mdomo au ni ya maandishi, mkuu haya ni mambo ya kisheria hayawezi kwenda kienyeji.Pale
Mke wa kwanza hana shida yoyote kwenye hili. Anaendelea na maisha yake na wala hasumbui kwa chchote
Hao NHIF walikuwa wanaangaika na nini kumtafuta mke wa kwanza ingali mleta mada hajapeleka document yoyote kumtambulisha?Mahakama wanaweza kupata taarifa za ndoa ya kwanza maana zipo RITA, mbona NHIF wamepata ilihali hakuwaambia?.
Pili ingekuwa ndoa ya jadi isingekuwa shida maana inajulikana ni ndoa ya wake wengi, ndoa ya Kanisani inajulikana ni ya mke mmoja pekee. Huwezi kufunga ndoa moja juu ya ndoa nyingine ya Kanisani.
Nakuelewa but your American way of life does not apply even a little huku BANANA REPUPLIC!!!Hujaelew hoja. Hata tukiondoa haki na kuongelea self interests za watu na surival mode, ushauri wako hauna mantiki.
Kila mtu ana uwezo wa kuboresha mfumo uliovunjika. Hata nchi ambazo mifumo hii inafanya kazi vizuri hazikuanza hivyo, ni watu wamechukua ownership ya mifumo na kuiboresha, wanaheshimu sheria, na mpaka leo wanailinda mifumo.
Yani hapa ilitakiwa mtu akiongelea kutoa rushwa ili asilipe anachotakiwa kulipa, watu wamshambulie, kwa sababu anawaibia wao. Hizi resources za bima ni watu wanachangia.
Sasa huko kwetu watu mnaochangia ndiyo kwanza mnafundishana kutoa rushwa ku abuse mnachochangia, hamjielewi.
This is the tragedy of the commons on steroids.
Nyie huko wananchi wenyewe mnaotumia mifumo mnafundishana kutumia rushwa kuharibu mifumo.
Kumpa mtu ushauri wa kutoa rushwa badala ya kulipa anachotakiwa kulipa kunauharibu mfumo wote, kunakuharibia hata wewe mwananchi mwingine.
Hili suala hata mtu akisema hataki haki anataka kuweka mbele self interests zake tu, ushauri wako ni mbovu.
1. Sula la huyu jamaa ni mwanachama wa NHIF au si mwanachama halipo hapa, kwa sababu aliyetumia huduma si yeye, ni mke wake batili katika macho ya mfumo na sheria. Mke wake batili kwa muktadha huo hatambuliwi kuwa mnufaika halali wa mfumo. Kwa hiyo hoja ya huyu ni mwanachama wa NHIF haina mashiko hapa. Suala si uanachama wake, suala ni uhalali wa mke batili kuwa mnufaika wa bima kwa kupitia yeye.Kumbuka huyu jamaa ni mwachama wa NHIF anayakatwa michango yake kila mwezi.
Scenario nzima ya hili tukio hakuna intention yoyote ya udanganyifu ni lack of proper information hakuna elimu kwa umma.
Si kila kosa ni la kumuadhibu mtu hata makosa ya barabarani traffic Wastaarabu anakueleza tu bila kukupiga ticket wala kuomba rushwa.
Hizi ofisi za umma zinahitaji watu wenye utu haya majinga ya NHIF hayana utu utadhani basi hakuna majizi humo yanavyojifanya yamenyooka ujinga mtupu.