Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Akili Yako Haina Akili.. Ya Mungu Mpe Mungu.. Na Ya Kaisari Mpe Kaisari..
 
Lowasa ni mwanasiasa wa kutumia pesa hana hoja wala hana siasa za hoja yeye ni rushwa tu.

Hivi anehonga nani kati ya lowasa na ccm labda alihonga akiwa huko maana huo ndio utaratibu wa CCM huku ukawa hahongi ndio maana yeye hakulipia bodaboda kuja kwenye kampeni wala kugawia watu book kumi kama walivyofanya ccm jpili...
 

Ohh huyu anatutisha na libya ndo rais tumechoka kuogopeshwa tunachukua maamuzi makubwa
 
Naona leo Magufuli wamemsahahu kabisa. Kakosa swaga?
 
Kwani mengine yote hujasikia? Hukusikia elimu elimu elimu? Hujasikia kilimo? Hujasikia afya?

Hujasikia miundombinu? Reli ya kati, air tanzania? Kweli mwaka huu mmekamatika vibaya
 
mkuu tabia za watendaji. Sio waongeaji kama kasuku, hilo ulifahamu mkuu,

hata YESU alisema maneno yenu yasiwe mengi.

Watanzania kwa sasa hawahitaji ngonjera wanahitaji matendo.
Haswaa, Bwana Yesu alikuwa anasema kimkato mkato tu. Hakuwa chiriku kama Magufuli bali alikuwa Akiongea kwa kifupi kama Lowasa. Wakombozi hawana maneno mengi.
 
Lowasa ni mwanasiasa wa kutumia pesa hana hoja wala hana siasa za hoja yeye ni rushwa tu.
Acha wivu wa kimahaba wewe na maneno yako ya kwenye khanga tena zile za ccm! haya basi anapesa ulitakaje!!?
 
Mimi nilitaraji mumpongeze sana LOWASSA, Sababu ameonesha utii wa sheria ya uchaguzi kuwa mkutano mwisho ni saa 12:00 jioni
 
Amezungumza mambo kama sita hivi, na ma3 kati ya hayo ni babu seya, balali na mashehe wa zanziba. Hayo ndo tunayoyataka kama taifa Mkuu. Think kwa kina kaka

Huyu anayetutisha na libya ndo rais... hapa tumeshtuka...hatuogopi kitu...
 
Kasema 1.Elimu bure(akiweza hapa tu bac sekta zote ztakuw imara) na c la kwanza had kdato cha 4 2.Mabadlko ya kilimo 3.Alshasem viwanda vtafufuliwa 4.Sekta ya afya km kawa. Km hujui kusoma ht picha huon!

Haya kayasema kwenye mkutano wa ndani labda. Lakini jangwani si kweli?
 
Hiyo ni ngumu mkuu natumaini hata huu uzi hautanig'inia hapa.


swissme
 
Magufuli aliongea mengi ambayo hayatekelezeki tena huku akivunja sheria sababu alihutubia mpaka saa 12:34 jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…