shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,434
Sumaye Ana cheo ndugu samahani lakini nataka kujua tu
daah jamaa wakaja kutuchinja ushindi wetuMAFURIKO na NGUVU YA UMMA hayazuiwi kwa mkono,PIGA UA LOWASA habari nyingine mjini.
mabadilikooo....Lowasssaaaaa
mabadilikooo....Lowasssaaaaa
hahahaha mkuu umeuaNimesimama karibu na afande mmoja hapa Jangwani anasema hii haijawahi tokea na anakiri Safari hii CCM hawaponi .nashukuru amenipa Sana moyo Kuwa mpaka 25 October tutapigwa sana mabomu lakini hatimaye tutashinda.Nimemshukuru na nimempa Buku tano anywe angalau maji maana anaonekana mchovu sana kwa kukosa usingizi
Mkuu malaria imepanda kichwani?mabadilikooo....Lowasssaaaaa
Nimejikuta nimekumbuka nikaona nijipoze kwa kumbukumbu mjarabuBlaza c vzr kukumbushana haya machungu
--unsubscribe--
too late mkuuHii ikifanyika na vijijini itakuwa poa Sana maana ndio kuna kura nyingi ambazo ccm wana uhakika nazo.
Mkuu umekosa usingizi umeona utukumbushie machungu au sio!too late mkuu
Nimejikuta nimekumbuka nikaona nijipoze kwa kumbukumbu mjarabu
Hebu apia yaani sema haki ya mungumungai ameama na bashe hamtaki makomeo
Watanzania wana akili sana na hawakudanganyika.Kama Sera ndo kipimo cha ushindi bas ccm washashinda maana sikusikia cha maana zaidi ya kumtoa Babu Seya na Masheikh wa uamsho.
LOWASA! LOWASA! LOWASA!!!
i) Post nyingi za wanaccm Facebook
zinamzungumzia Lowasa!
ii) Post nyingi za wanaUKAWA Facebook
zinamzungumzia Lowasa!
iii) Post nyingi za wanaACT Facebook
zinamzungumzia Lowasa
iv) Magroup mengi ya siasa whatsaap
yanamzungumzia Lowasa muda mwingi!
v) Twitter tweets nyingi zinamzungumzia
Lowasa
vi) Viongozi wa kubwa wa vyama mbalimbali
vya siasa wameacha kunadi Sera zao
wamekalia Lowasa!
vii) Viongozi wa serikali wameacha ofisi zao
wapo Ngurudoto kuzungumza juu ya Lowasa
viii) Thread nyingi za Jamii forum
zinamzungumzia Lowasa!
ix) Magazeti Mengi habari zenye uzito ni
Lowasa!
x) Redio na tv ni Lowasa
xi) Ukirudi mitaani kila mtu haongei maneno
matatu bila kumtaja Lowasa!
xii) Mtanzania wa leo hapati usingizi mpaka
ataje Lowasa!
xiii) Watu kabla hata ya kupiga mswaki
asubuhi wanaamkia Lowasa!
HITIMISHO!!!
TUKUBALIANE TU KUWA LOWASA NI HABARI
YA MJINI!!!!
Endelea kuzungusha mikonoCCM hawashindi, achana na hizo porojo za wizi wa kura.
Kwa maana hiyo hii nchi itatawaliwa na CCM milele?
Piga kura yako kwa Lowassa, ushindi ni wa uhakika.
Rais wa Monduli labdaAt least sasa, nina uhakika kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye!!
Viva CHADEMA, Viva UKAWA, Viva LOWASSA!!!
Hahahaaaaa utanipenda zaidi tukichukua nchi.
Tupambane tu, mazuri yaja.
At least sasa, nina uhakika kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye!!
Viva CHADEMA, Viva UKAWA, Viva LOWASSA!!!
Lakini matumaini yapo 2020!!Ndoto imegeuka jinamizi?