Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Arusha UMEME umekatwa saa nane kasoro., daaah Tanzania tunahitaji mawazo mapya,.
Tukutane Oct 25.".
 
Mmemuacha MAGUFULI mpweke, halafu mnakuja kutukatia viuno huku?

Mkuu wewe hujui unachokisimamia maana january 2014 uliisifia sana CCM na kuwaaminisha ndugu zako watanzania kuwa CCM ni nzuri na mpaka ukamkubali MAGUFULI pale alipokuwa amekesha kwenye daraja kusimamia utendani..
bila shaka nawe unaingia kwende kundi hili hapa chini..

"mtanzania atakayemchagua lowassa basi akapimwe akili" by MCH MSIGWA,
mbunge na kiongozi wa CDM.
 
On this very day,at this very place God bear witness the die is cast,change is inevitable. Mabadiliko lazima.
 
Mmmmh! Mwanaume gani anakuwa na kiherehere namna hiyo? Lizabon, Simiyuyetu, Faiza Foxy na Jingalao wote hao ni wanawake. Jaribu kuchunguza utagundua kitu Mkuu!

Kumbe..basi tumuheshimu dadaetu Lizy a boni
 
ila nasikia watakata matangazo ya kingamuz cha startimes ili itv isionekane

Haiwasaidii kitu! Smart phone zimejaa mpaka vijijini! Watu wanaendelea kupata updates kupitia mitandao ya kijamii kwa kwenda mbele! Sema MFA MAJI lazima atapetape!
 
Huu ni ubabaishaji, Tv zinaandika watajiunga saa nane, mara saa nane na nusu. Kuweni na mda unaoeleweka sasa.
 
Leo jangwani panamaliza ubishi wote, Jakaya alisema photo shop sasa leo atapelekewa ujumbe rasmi ajiandae kukadhi nchi au aende ICC maana hamna namna CCM watachomoka.

Hii ni 2015 sio 1995 Kaeni tayari.
eti tunaanza na mungu na kumaliza na mungu. mungu wenu cdm mnamjua wenyewe,..unafiki mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…