Ulitaka aongee muda gani?Jamani kama ni mawazo yangu tu nisamehewe jamani,nahisi Lowassa,kazungumza kifupi sana,uzinduzi kabisa wa kampeni kweli na umati wote huu.
Mkutano wa uzinduzi kabisa?
Lowasa huwa hana maneno mengi kama yule chiriku yeye ni mzee wa maamuzi magumu yaliyo sahihi
Mpumbavu ni wewe,
Hiyo mihimili mingine iko chini ya nani?
Rais ni mkuu wa nchi nzima kama hujui.
Jamani kama ni mawazo yangu tu nisamehewe jamani,nahisi Lowassa,kazungumza kifupi sana,uzinduzi kabisa wa kampeni kweli na umati wote huu.
Mkutano wa uzinduzi kabisa?
Hahahaha Rais hana cha kusema ameandika hotuba kaiweka kwenye website someni huko....Sijamwelewa hata, maana hata hiyo www haikueleka vizuri na itakuwaje kwa walio wengi ambao hawajui www
Huwezi kuongoza nchi kwa hotuba ya dakika 8 tu,huu ni upuzi officially sikupi kura lowasa for the first time am going to vote for CCM magufuli
Jamani kama ni mawazo yangu tu nisamehewe jamani,nahisi Lowassa,kazungumza kifupi sana,uzinduzi kabisa wa kampeni kweli na umati wote huu.
Mkutano wa uzinduzi kabisa?
Nafikiri Lowasa bado hajayajua matatizo ya wananchi, akazunguke sokoni tena