Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Asilimia kubwa? Rudia tena research yako, currently china na india ni moja ya nchi zenye wasomi wengi sanamimi nimekwambia asilimia kubwa na siyo mia, hata hapa kwetu private sector wengi wanajua kiingereza
Kwani Mtanzania anamzidi lipi Mrundi? unakuta PHD holder wa Tanzania hawezi hata kufanya presentation kwa kiingereza cha kawaida, kama unabisha neenda ukamhoji prof: Dalichako kwa kiingereza kama atakubali.Ni ushabiki tu au uko-serious kutufananisha na Warundi?
Alizingua sanaMchawi ni yule mjinga alieamua ili taifa tutumie kiswahili katika elimu yetu
Yule nyo ko kazika ndoto za watu wengi sana
Halafu ubishi ndiyo tunaona kama ujanja. Kiswahili kingi lakini kichwani sifuri.Siamni...
Nachoamni ni kwamba connection hakuna tuu...
Mi niambiwe kuna connection ya kwenda urope huko kufanya kazi nishindwe kupiga twit ya English kwa mwezi
Hili unalosema ni jambo la kweli kabisa. Hata wawekezaji wanaokuja Tanzania huwa wanalalamika kuwa watanzania kichwani hakuna kitu. Elimu yetu siyo elimu bali watu wanakwenda shule kukariri mwajibu ya maswali ili wafaulu mitihani. Magufuli mwenyewe kichwani kulikuwa hakuna kitu. Kati ya wanasiasa karibu wote, wenye uwezo wa kufanya mahojiano kwa kiingereza kinachoeleweka ni wanachache sana. Sidhani hata Samia mwenyewe anaweza kufanya mahojiano kwa kiingereza bila kupewa maswali yote kabla ili akariri kwanza.Kwani Mtanzania anamzidi lipi Mrundi, una kuta PHD holder wa Tanzania hawezi hata kufanya presentation kwa kiingereza cha kawaida, kama unabisha neenda ukamhoji prof: Dalichako kwa kiingereza kama atakubali.
Ni kweli Mkuu nilikua naongea na Mjapani nikamuuliza swali je waafrika kutoka nchi gani wapo wengi uko kwenu Japani yeye akanijibu ni Wakwnya ndiyo wapo wengi kwenye vyuo.Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
Mkuu Bongo freak siyo Muziki na kama unataka kujua hilio kwamba Bongo freva siyo Muziki we jaribu siku moja kuangali Live Concert za Wana muziki kutoka Congo walizo fanya Ulaya na ulinganishe Live za Daimond alizofanya nje ya Tanzania. Ndiyo utajua Muziki na Bongo freva ni ni vitu viwili tofauti.Kweli akili ndogo, eti wakongo wana waza muziki, sisi tunawaza bongo freva (flavor).
Kwahiyo hiyo bongo "freva" siyo muziki?
Staki kuamini kama naambiwa mimi mshamba mkuuHalafu ubishi ndiyo tunaona kama ujanja. Kiswahili kingi lakini kichwani sifuri.
Ndiyo maana wachina wanakuja na mitaji ya Dollars miatano wanawekeza kwenye makaa ya mawe na Madini. Sidi Vijana wachuo tumebakia kuwa machawa ili kujiptia pesa ya kulipa kodi na kununua IPhone. Tuna waachia wageni wanatajirika na Mali zetu.Unalo sema ni kweli tuanzishe kampuni, ila akili za mbongo ni mtu wa kuridhika haraka na mtu wa showoff sanaa, watumishi wengi dreams zao ni gari na nyumba tu.....hatuwezi kufikiria beyond ya hayo.
Mnapendaga wabongo waendelee kuwa wajinga kwa kuwapa mifano ya kipumbavu kama hyo wasioendana nayo mapimbi nyieAsilimia kubwa ya wachina hawajui kiingereza lakini uchumi wao uko wapi?
Kazi kubet unadhani utapata mendeleo ya kiuchumi?
Wakongo wanaenda Ufaransa na Belgium kama sisi tunavyoenda Ubungo, Wakongo wanapesa siyo wanyonge, Mfano mdogo tu Kocha Mwinyi Zahera alikua kocha wa Yanga alikua anatoa pesa zake kusaidia timu je Kocha wakitanzania anaouwezo wa kununua Maji na viatu vya timu.Huwajui wakongo hao hata mkenya hafikii hustle zao
Muweke mkongo kwenye level zake.
Kweli mkuu nchi yetu ina fursa nyingi ambazo tukizitumia hatutawaza kwenda kuajiliwa nje ya nchi ukitoa Mashirika ya Kimataifa.Wakenya wanazungumza Dictionary language: DIctionary English (ndo maana kufit kwenye mazingira ya kimataifa hawashindwi) na dictionary swahili (je wajua, maprofesa wengi wa Kiswahili marekani ni Wakenya na sio Watanzania)
Tanzania tunakosea katika umakini. Kiswahili tunachanganya R na L, A na Ha, na inatusumbua baadaye when it really matters.
Kwa taarifa yako, wakenya wengi wanastruggle katika uandishi wa Kiingereza. Kwa hiyo shida hii ipo both sides of the fence.
Mwisho, tunakimbilia ajira za kimataifa kwa sababu gani sasa? Tumeshindwa nini hapa nyumbani.
Wako vizuri sema wamejengewa negativity hata hapa tz hakuna msanii kama Christian bela ila Kuna wakati fm academia walilalamika kutengwa kwenye tuzo za Kili awardsWakongo wanaenda Ufaransa na Belgium kama sisi tunavyoenda Ubungo, Wakongo wanapesa siyo wanyonge, Mfano mdogo tu Kocha Mwinyi Zahera alikua kocha wa Yanga alikua anatoa pesa zake kusaidia timu je Kocha wakitanzania anaouwezo wa kununua Maji na viatu vya timu.
ukiingiza siasa kwenye maeneo ya msingi matokeo yake yanakuwa ndo ayoHalafu ubishi ndiyo tunaona kama ujanja. Kiswahili kingi lakini kichwani sifuri.
aya mambo sometimes adi uyaexperience ndo unaweza kuelewa kwann tunakwama.Hili unalosema ni jambo la kweli kabisa. Hata wawekezaji wanaokuja Tanzania huwa wanalalamika kuwa watanzania kichwani hakuna kitu. Elimu yetu siyo elimu bali watu wanakwenda shule kukariri mwajibu ya maswali ili wafaulu mitihani. Magufuli mwenyewe kichwani kulikuwa hakuna kitu. Kati ya wanasiasa karibu wote, wenye uwezo wa kufanya mahojiano kwa kiingereza kinachoeleweka ni wanachache sana. Sidhani hata Samia mwenyewe anaweza kufanya mahojiano kwa kiingereza bila kupewa maswali yote kabla ili akariri kwanza.
Samia huyu ambaye bila script hawezi ongea na wananchi..Sidhani hata Samia mwenyewe anaweza kufanya mahojiano kwa kiingereza bila kupewa maswali yote kabla ili akariri kwanza.
aya mambo auwezi kuyaelewa km aujawahi kukatiza izo levo zinazotajwa apaNi ushabiki tu au uko-serious kutufananisha na Warundi?
π π π π Tumejaza umbeya, vilabu vya mpira na uchawa.Hili unalosema ni jambo la kweli kabisa. Hata wawekezaji wanaokuja Tanzania huwa wanalalamika kuwa watanzania kichwani hakuna kitu