bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
- Thread starter
-
- #21
lakini uliweza na huo ndio urijali wenyeweNiliwahi kuwa na mwanamke Mmoja Kwa kipindi cha miaka mi2 bila kucheat[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimuambia ni vigumu Kwa mwaname kuwa na mwanamke Mmoja kuliko kuwa na wengi hakuwahi kunielewa.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Sio uongo ati!.Watasingizia wamerogwa
Unataka uanamme upi bingwa?sasa huu sio uanaume
Hahaaa!umekua mkweliSiti ya mbele.
Naunga hoja japo binafsi sina hio discipline
Sio dicpline. Ni kwenda against force of nature.Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
Hata mimi kama isingekuwa Yesu kunifungia Speed gavana nadhani ningekwamaKutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
MpotezeeMtaa nilioamia kuna demu mkali alafu nasikia Stori ananitajataja sn,anaulizia watu km Nina mtu au la maana ametoka kunipenda.Sasa mleta mada hivi ndy uko na mwanamke wako alafu ukasikia Stori km hizi kuna mtoto mkali anakutaka unaanzaje kujizuia na nguvu za kiume unazo?
Kuna uwezekano mkubwa nikajiangusha kwenye box la penalty wallah
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwani amekuwa mama yanguKutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
Watasingizia wamerogwa
Dah umeusemea moyo wangu kabisa kwa kweli. Nami huwa nasema hikihiki.Ningekuwa na uwezo huo ningeshukuru kweli na bila kuficha ningekuwa na maendeleo makubwa katika maisha yangu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Asikwambie mtu nimejitahidi kutulia na mwanamke mmoja lakini kila wakati naambulia maumivu, tukiachana na huyu tuna shikana na huvu mwisho wa siku naye tunaachana, ukweli uhuni unafundishwa nataka nibadirike kama washikaji walivyo nishauri, sitaki kuwa na mmoja te,Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
uzoefu kama wangu!Kuwa na pisi moja sio kazi kwangu hata kwa miaka 10 tunaweza ishi kama one-to-one function. I been a one woman guy for years. Kinacholeta utata ni huwa sipendi mwanamke aninyanyase in any way!
Sharti ni moja tu nikitaka mbunye asianze viji sababu vya kinaa vile mara oh nimechoka..,we kila siku unataka tu...,ntakupa asubuhi!
Ukiona umeanza usumbufu kunipa tunda mpaka tuanze kutongozana upya ni swala la muda tu😅 we jiandae kisaikolojia.
Nimewaza tu sijui nimtag aje ashuhudie huu muujiza hapa..!😂😂na alieturoga alikimbia nje ya sayari dunia [emoji16][emoji16]