Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Nimeshindwaaga kuacha kuchepuka na nimeshafumaniwaga na amekuwa wakunisamehaga kilaa leo
Sasa nikwambie kitu Kama umeoa na mna watoto basi mkeo anakuvumilia kwasababu ya watoto nothing more
 
Umemaliza Mkuu mwenye maskio na asikie
 
hii discipline inabidi iwe pande zote lakini, sheria ni msumen ujue😉


😉
 
Kweli tena twin...sema ukisoma humu unaweza hisi wanaume wote ni washenzi kumbe waala!

Mambo ni tofauti kabisa na kitaa

Twin sipingi kwa kutumia comments za humu, napinga kwa kuona uhalisia kwenye jamii tunayoishi.

Wanaume wengi hawatulii na mwanamke mmoja atachepuka tu.

Wapo wachache wanaojitambua ambao anatulia na Mkewe / Girlfriend wake.
 
Ukitulia na mwanamke mmoja unajitengenezea ticking bomb, unajipa ugonjwa wa oneitis,ukishakua na huo ugonjwa kwisha habari yako...narudia tafuta wanaume wote walotulia na mwanamke mmoja walikuja kupigwa na tukio moja wengine wakajitundika...

Kua na wanawake wengi haimaanishi utembee nao wote,,,inakupa options,pili inakupa confidence,na ikitokea siku mkeo kajua basi kwake ni competition hiyo lazma adabu imkae,,hakuna kitu kinawaumiza hawa wanawake kama wakijua jamaa yuko na option zaidi yake,,jiulize hujawah kuona mdada anajua jamaa yake hajatulia na still anamganda? Guess what? Competition baby!!! [emoji1]

I wish ujue psychology behind women,,, kazi yako kama mwanaume na kupoint tu wanawake...yes hii inaitwa plate theory,,utawavua kweny nyavu,utachagua wanaokufaa ,wasio kufaa unawarudisha zao Bwawani...hii kitu ukiijua ndoa yako itasimama kidedea kuliko wale waliotulia na mwanamke mmoja....Mind you kaz yako sio kuwa control hawa wanawake,wataji control wao wenyew tu automatically.

Naomba niishie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…