Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Majukumu ya Katibu Mkuu Kiongozi

As Permanent Secretary of the President

Chief Secretary is the Permanent Secretary of the President. In that position, he is the CEO of the Office of the President. In addition, he is the head of the Public Service and Secretary to the Cabinet of Ministers.Duties of the Chief Secretary include:

Advise the President on matters relating to discipline and employment in the Public Service..

Receive and deal appropriately with reports from various committees of the Commission and the President as well as the Public Service Commission.

Address the operational issues of TISS and PCCB.

Provide a link between the President and the MDAs on all matters pertaining to the implementation of various issues concerning the Government and the country in general.

Advise the President on all matters pertaining to the operation of government and the country in general.

Undertake any work that the President shall assign.

As Cabinet Secretary

The post of Cabinet Secretary has been referred to in Article 60 of the Constitution of the United Republic of Tanzania. The Cabinet Secretary is the Chief Executive of the Cabinet of Ministers.His duties include:

Prepare a schedule of meetings and a list of activities for each Cabinet meeting.

Writing and keeping records of meetings of the Cabinet.

Providing information and details of the decisions of the Council for each person or public body concerned.

Providing information and details of the decisions of the Council for each person or public body concerned.
Engaging Ministries and Ministers in all their activities submitted to the Cabinet or its Committees.

Coordinate the implementation of the decisions and directives by the Cabinet the Committees.

To perform any other functions as directed by the President from time to time.
 
Amepanda sanaaaaa. Diwani kwa sasa ni boss wa kila mtu anaereport kwa presdaa. Mkuu wa majeshi anarwport kwa rais. Mawaziri wote wanareport kwa rais. Idara ya usalama wa taifa inareport kaa raia. Yeye niboss co for now he is the boss og watumishi wootw wa raia
 
Amepanda sanaaaaa. Diwani kwa sasa ni boss wa kila mtu anaereport kwa presdaa. Mkuu wa majeshi anarwport kwa rais. Mawaziri wote wanareport kwa rais. Idara ya usalama wa taifa inareport kaa raia. Yeye niboss co for now he is the boss og watumishi wootw wa raia
Wacha weee
 
Chief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.

Nchi nyingine hasa zenye unitary constitution kama muundo wa UK (ambao tume-copy) ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).

In other words Diwani Athumani hiyo ni promotion.
Una hakika??
 
Katibu Myeka ndio nasikia leo hilo neno Myeka ila sidhani ndio chief staff. Katibu wa Ikulu ndio mkuu wa shughuli za Ikulu that equates to ‘chief of staff’.

Katibu wa wizara ya mambo ya ndani on paper ni mkubwa kuliko mkuu wa idara ya usalama na katibu mkuu kiongozi ndio boss wao ambae yupo Ikulu.

Chief Staff ndio head ndani ya Ikulu wa watumishi wote kila anachoambiwa raisi na yeye anatakiwa kukijua na ndio mshsuri wake mkuu kwenye maamuzi na nchi nyingi anaingia vikao vya baraza la mawaziri kwa sababu kila anachoshauriwa raisi na yeye lazima akijue.
Niluwahi kusikia kwa mtu mmoja kwamba Katibu Mkuu Kiongozi ofisi yake haitakiwi kuwa Ikulu. Katibu Mkuu Ikulu ndio ofisi yake inatakiwa kuwa Ikulu na hivyo yeye ni Mkuu wa Watumishi wa Ikulu.
 
Kunamaswali mengine mtu akikuuliza live unaweza kumzaba kibao.

Unahitaji akili kidogotu kutambua hivyo vyeo hapo kwenye hizo taasisi.

Huyo ameenda kupumzishwa tu hapo kama wakina lukuv.

"Ameshushwa"
 
Nendeni mkajifunze historia mjue Dr Hassy Kitine na Mzena baada ya kutoka kuwa ma DG wa TISS walipelekwa wapi?

Katibu Mkuu Ikulu sio cheo cha mchezo mchezo Dunia nzima

hadhi ya Balozi ni ndogo kuliko hadhi ya Katibu Mkuu wa Foreign affairs

hadhi ya Katibu Ikulu ni kubwa kuliko Katibu wa Wizara yeyote
Je, hapo kabla Diwani hajawahi kutuwakilisha Zimbabwe?
 
Chief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.

Nchi nyingine hasa zenye unitary constitution kama muundo wa UK (ambao tume-copy) ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).

In other words Diwani Athumani hiyo ni promotion.
Kwa majukumu yapi na bajeti ipi?
 
Hizi ni Taasisi mbili tofauti kwaio kulinganisha ni ngumu kidogo ila cha msingi kama mshahara wa Tiss kama ni kubwa kuliko KM ateendelea kulipwa huo mshahara ila kama wa KM ni mkubwa atalipwa wa KM waio hana cha kupoteza
Kwa nini asilipwe wa Katibu Mkuu Ikulu hata kama ni mdogo au mkubwa kuliko wa TISS?
 
Chief of Staff siyo kingereza cha Katibu Mkuu Ikulu braza! CS ni KMK kwa Kiswahili..yaani Katibu Mkuu Kiongozi!
Chief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.

Nchi nyingine hasa zenye unitary constitution kama muundo wa UK (ambao tume-copy) ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).

In other words Diwani Athumani hiyo ni promotion.
 
Elimu yako ulipata wapi aisee, Katibu Mkuu kiongozi ni Mkuu wa utumishi wa umma.
Katibu wa Baraza la Mawaziri.
Tofauti ya ya nilichoandika na ulichoandika ni maneno niliyo chagua ila yana maana moja. Kama Mkuu wa watumishi wa wizara Moja ni Katibu Mkuu na KMK ni Mkuu wa Makatibu wakuu wote, Ina maana basi KMK ni Mkuu wa Watumishi wote wa Serikali.

Kuwa Katibu wa Baraza la Mawaziri siyo substantive post bali ni nafasi ya wakati wa mikutano. Huwezi kuniambia kuwa Samia ni Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri. It becomes vague kwenye normal usage
 
Maoni Huru Haya:-

Rais kafanyia KAZI maridhiano na upinzani!

Kapata de motion na kawekwa karibu Sana kwa uangalizi maalum yaani Being monitored Ili ku neutralize MADHARA YA cheo CHAKE cha zamani!


KWA kuwa alikuwa loyal kwa Chuma ukimuacha free MADHARA yake kwa utawala wa sasa yatakuwa MAKUBWA Sana kea Mwenyekiti HASA information Zita leak!!

Mtazamo Huru Huu!
 
Secretary ni msaidizi tu, kimantiki kuna wakubwa wanaenda kumuona Rais kwa muongozo wake wafikapo ofisini tu, subiria, ana mgeni, njoo badae, subiria nipigie simu, ngoja nikaongee nae.

Diwani kawekwa pale mahususi Mama hataki kurudia kosa la Magufuli, hii maada inahitaji why's za akili sana,

Kwa yaliyotokea mkutano Mkuu wa CCM dodoma Rais Hassan kajifunza jambo muhimu sambamba na kilichotokea kwa Magufuli.
 
Sijabisha katibu mkuu kiongozi ni mtu mkubwa sana akiwa kama head of civil service makatibu wakuu wote yeye ndio boss wao na idara zote za serikali.

Na katibu wa Ikulu pia sio mtu mdogo yeye ndio ana control maswala ya Ikulu including taarifa za katibu mkuu kwa raisi; sasa nani mkubwa kati ya hao wawili inategemea na nchi.

Ila tulipo kopa katiba chief of staff ni mkubwa zaidi ya katibu mkuu kiongozi. Sijasema na Tanzania ni hivyo.

Either way kwa Diwani ni promotion (on paper) kutoka kuongoza Idara, kwenda Ikulu.
Katibu mkuu ikulu yuko chini ya katibu mkuu kiongozi

Katibu mkuu kiongozi anaingia kwenye vikao vya baraza la usalama wa taifa ilhali katibu mkuu ikulu haingii

Diwani kwa hiyo post kashushwa cheo
 
Back
Top Bottom