Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

Watu wengine sijui mnawazaga kwa kutumia nini?!!
Kwa nini mleta mada hajataka kujua chochote kukuhusu wewe Bwana Manjaa?!
Ukishakuwa mtumishi wa umma, lazima ukubali maisha yako kuwa wazi kwa Umma pia.
Kama ukiona unataka privacy sana, basi kakae nyumbani na mkeo/mmeo halafu uone kama kuna mtu atakuja kukufuatilia
 
hivi watanzania wangapi wanafanya buashara na serikali,wewe umemuona maharage tu?unafhani biashara za watu zinatajwatajwa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage ni Mkurugenzi (Chief Executive) wa shirika..
Ana uwezo wa kuinfluence biashara zake kupitia kwa Mkurugenzi mwenzake.
Huwezi kumweka kwenye kundi moja na Watanzania wa kawaida, wengine ambao hawajaajiriwa hata serikalini.
 
Watu wanaingia kwenye politics to protect their business and not to help poor people!!
 
Ukifuatilia mambo ya ccm unapata kichaa
 
Anza wewe kutaja biashara yako ndo uulize ya maharage
 
Ufisadi hautaisha Tanzania. Wananchi wenyewe wanatetea mafisadi. Mtu ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Umma anateuliwa kusimamia hiyo Taasisi anavyofanya nayo biashara. Halafu Kuna Wana CCM wanatetea kisa tu kuitetea serikali. Tuna safari ndefu.
 
Softnet ni kampuni ambayo ana maslahi nayo. Amemuachia rafiki yake wa siku nyingi, toka wanasoma aiendeshe. Yeye anapiga mapande. Ina JV na HUawei ya kufanya kazi za mkonga wa Taifa
 
Rgojin the idiot amefumbua swali lako Kuhusu biashara anayofanya ndugu ma beans ikiwa kama ni parner katika kampuni ya softnet na Huawei ameshinda contract ya kutandaza fiber ya ttcl akiungana na softnet katika mfumo wa Joint venture. Ili kujua kwa urahsi wewe google awarded contracts za ttcl halafu ingia deep zaidi utachambua kampuni gani zimepata tenda ttcl.
Note: Board member wa tanesco na maharage mwenyewe wote wamepitia DCB bank kama directors was that a coincidence.
 
Mtumishi wa umma,ana biashara katika shirika la umma. Hii imekaaje? Anyway cjui biashara yake mkuu
Labda katiba yetu imebadilika. Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa Kiongozi hatakiwi kumiliki biashara kwenye taasisi za Umma. Au hiyo ilikuwa ya TANU na CCM ya Chama kimoja?
 
Hiyo ndo ccm bwana.mnashangaa leo wakati haya yako enzi na enzi.wa kijana watatutesa sana kama hatujiongezi
 


Kama ni biashara halali haituhusu.
 
Wewe unafanya biashara gani? Au biashara yako ni hii michango yenu ya kihuni huko CHADEMA? Ulipata Tsh ngapi kwenye michango ya Join The Chain?
Join the Chain michango yake iko kwenye tovuti ya Chadema , ingia uone .

Mimi siyo msemaji wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…