Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #61
Arusha mnaongoza kwa rasi et mvutiee wazungu ili miwaoe acheni ubwegeHuu sasa ni uwongo wa wazi, unatakiwa ujue kuna wafugaji wa nywele na marasta kiimani. Wafugaji wa nywele na misuko ya kike kwa wanaume kitovu chake ni hapo unapo pasifia..
Njoo tupambane naoUzi tayari 🤭🤣
Wanasema tumeshindwa kumtia mimba Wema na Halima MdeeNjoo tupambane nao
Hawa wanatukandia sana
Hamna kitu.Mnapenda kulakula vyakula vya gharama mnabaki na hela ya maharage kwa chapati asubuhi.Yani hamjui kutunza fedha na wengi mnaishi kwa ndugu au maghetoni.Hahahah vuta picha kwa siku nimepata wateja 10 na silipi kodi wala nini mtaji wangu akili tu
Njoo tupambane naoUzi tayari 🤭🤣
Labda show mbovu asipojitutumua kwenye bills penzi litazama matopeniNaomba nikubali hili kiukweli, wengi wao wanajua majukumu yao, sijui huwa ni mfumo wa maisha ya wadada wa huko yanawanyoosha,
Siye tushajizoelea huku you just pay your bills on your own, lakini nikiwa na wanangu wa Dar mpaka nauli ya Uber unakuta analipa yeye, wakati wewe ulishaandaa zako cash lakini hakubali ulipe..!!
Mbarikiwe wakaka wa daslama.!!
Na kwa kauli kama za kutaka hela bila kusumbua akili zimewafanya wengi wa wanaume wa Dar kushindana na dada zao.Ahhahah kama hujui ipo ivi wewe unakuja unataka tishet duka fulani umelikosa mimi nalijua duka ambalo zipo nakutajia bei 20000 unatoa naenda kukuchukulia napata 7000 nimekosa nini mtaji ni akili yako kaka
Hatujashindwa ila watu mjini hatuzai kama kuku kama wanavyo zaa wao uko mwisho wasiku wanawatelekeza watoto sokoniWanasema tumeshindwa kumtia mimba Wema na Halima Mdee
🤣🤣🤣🤣Na kwa kauli kama za kutaka hela bila kusumbua akili zimewafanya wengi wa wanaume wa Dar kushindana na dada zao.
Hatujashindwa ila watu mjini hatuzai kama kuku kama wanavyo zaa wao uko mwisho wasiku wanawatelekeza watoto sokoniWanasema tumeshindwa kumtia mimba Wema na Halima Mdee
Wazungu wangekuwa wanapenda kuolewa na marasta wangeenda Jamaica.Arusha mnaongoza kwa rasi et mvutiee wazungu ili miwaoe acheni ubwege
Na kwa kauli kama za kutaka hela bila kusumbua akili zimewafanya wengi wa wanaume wa Dar kushindana na dada zao.
Sasa mbona mnawadanganya vijana kwakusukaWazungu wangekuwa wanapenda kuolewa na marasta wangeenda Jamaica.
None of the two,Kama si nduguyo hulipiwi bure.Kuna moja kati ya mawili.Ni aidha anakuvizia/anakuzubaisha akuibie/akutapeli au akutumie(kwa akili,mwili au kiuchumi) kwa faida yake.Kuwa makini.
Unaelewa maana ya utalii na watalii kweli? Kama matukio ya utapeli yangekuwa yanajitokeza mara kwa mara, tusingeona Arusha na Tanzania watalii wanafurika kila siku.Vipi kuhusu ninyi mnao vizia kutapeli watalii?
Ila watu wanakaza shingoMtoa mada kamaliza Kila kitu.