Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero


Kuna Watu wafikiri hiyo ni hadithi.
Alafu watoto wanaopitia maisha ya hivyo ni weΓ±gu kweli. Sema jamii yetu inalinda waovu wanaotawala
 
Kwa kifupi tafadh'ali
 
Na yeye bila kusamehe hawezi kupata amani ndani ya moyo wake atateseka na mawazo sana ogopa kuweka visasi ndani ya moyo hatakilaani na kizazi chake na laana hinafanya kazi mpaka kizazi cha saba



Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Where is justice? Yaan kwel mtu hajawalea alaf anakuja kutoa vitisho vya laana wakat mwana amepambana na kuteseka vya kutosha ,amekula matusi alaf mzee anaanza kutishia laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…