Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

Inaumiza Sana .
Mungu msaidie zaidi na zaidi huyo kijanaa .Amina .

Hapo afungue kesi ya kusumbuliwa na mtu asiyemjua akijitanabisha kuwa mzazi ,wakifika huko mzazi akijieleza kuwa mzazi kijana amakane mbele ya mahakama kuwa hataki kuwa na baba wa aina yake na hivyo hataki usumbufu wowote japokuwa yote yafanyike mama mtu akiwa karidhia kuwa hampendi bwana yake ,asijeharibu sherehe mahakamani akasema anamtambua Kama mumewe maana mapenzi Yana nguvu Sana man
 
Na yeye bila kusamehe hawezi kupata amani ndani ya moyo wake atateseka na mawazo sana ogopa kuweka visasi ndani ya moyo hatakilaani na kizazi chake na laana hinafanya kazi mpaka kizazi cha saba



Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Kama umekimbia majukumu jiandae kisaikolojia maana kizazi cha sasa huko ulimbukeni wa baba suruali hawautaki
Mfano Ommy dimpoz.
 
Back
Top Bottom