Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Bado nasema, wote tutachanganyikiwa tuu!!Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya Ajira kwa sasa ni Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani Kikwete?
Huyo ndio waziri wa Ajira kwa sasa?
Haumjui na wewe?Okay
Ovyo kivipiHii inaonyesha ni kiasi Gani nchi Iko ovyo
Kuna mdau mmoja alileta uzi humu jf akimfananisha waziri wa kazi,vijana na ajira wa Kenya na Ridhiwani Kikwete, yule wa Kenya ukipitia kurasa zake za mitandao ya kijamii unaona ni namna Gani anavyowapambania vijana kupata kazi na inafika mpaka kuwaangangaikia kupata VISA lakini ukipitia kurasa za Ridhiwani yeye ni kumsifu Samia tu mwanzo mwisho.Ovyo kivipi
Kwa hio Rizimoko ndio Waziri wa Ajira? Au nimesikia vibaya una uhakika au umekosea kuandika? Rizimoko ndio Waziri wa Ajira na Kazi kwa Vijana na wenye Ulemavu? Hio Wizara haiwezi sio ya kutembelea vituo vya mafuta hio ni zaidi ya SheliKuna mdau mmoja alileta uzi humu jf akimfananisha waziri wa kazi,vijana na ajira wa Kenya na Ridhiwani Kikwete, yule wa Kenya ukipitia kurasa zake za mitandao ya kijamii unaona ni namna Gani anavyowapambania vijana kupata kazi na inafika mpaka kuwaangangaikia kupata VISA lakini ukipitia kurasa za Ridhiwani yeye ni kumsifu Samia tu mwanzo mwisho.
Sasa kijana wa Tz unakuta anahangaika kutafuta kazi waziri wake ansyeshughulikia hayo mambo hamjui kwa vile tu huyo waziri amejiweka mbali huku akiendekeza uchawa badala ya kuwasaidia vijana wenye uhitaji
Ndio waziri mwenye dhamana wa hiyo wizara.Kwa hio Rizimoko ndio Waziri wa Ajira? Au nimesikia vibaya una uhakika au umekosea kuandika? Rizimoko ndio Waziri wa Ajira na Kazi kwa Vijana na wenye Ulemavu? Hio Wizara haiwezi sio ya kutembelea vituo vya mafuta hio ni zaidi ya Sheli
Basi hamtoshi imemu over sizeNdio waziri mwenye dhamana wa hiyo wizara.
Kawaulize inzi wa chooni ndiyo wanawajua hao viongozi maana kazi kubwa wanayo fanya ni kula na ku💩 tu ...hivyo nzi wanawajua vizuriWakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya Ajira kwa sasa ni Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani Kikwete?
Inzi tena?Kawaulize inzi wa chooni ndiyo wanawajua hao viongozi maana kazi kubwa wanayo fanya ni kula na ku💩 tu ...hivyo nzi wanawajua vizuri