zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Tuonyeshe amefanya impact gani tangu awe awe waziri?Mhe. Ridhiwan J. Kikwete ndiye waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuonyeshe amefanya impact gani tangu awe awe waziri?Mhe. Ridhiwan J. Kikwete ndiye waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Tuonyeshe amefanya impact gani tangu awe awe waziriMhe. Ridhiwan J. Kikwete ndiye waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Nafikiri Ni ndalichako,Ila Sina uhakikaWakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya Ajira kwa sasa ni Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani Kikwete?
Nilijibu alichouliza muulizaji. Hayo maswali mengine uliza wengine wanaweza kuwa na majibu yake.Tuonyeshe amefanya impact gani tangu awe awe waziri?
Ni Ridhiwan Kikwete.Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.