Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

Makonda anaielewa audience vizuri na anahakikisha inamjadili yeye na personality yake kuliko matatizo ya msingi ya watanzania ambayo hayajasababishwa na tabia yake. Watanzania baadhi wanahurumia watu ambao wanawajibishwa kwa kuwa nafasi walizopewa na wanazolipwa kwa kodi zao hawazifanyii kazi ipasavyo. Wanataka wawajibishwe kwa namna fulani hiviii waliyozoea. Kazi Iendelee.
 
Ndiyo maana mi maza simtaki sababu siyo mbara mwenzetu na anataka kutugawa kwa maslahi yake binafsi
 
Wew mwandishi uwezo wako mdogo sana, Paul makonda yuko sahihi. Wew ndio umekalili uzembe wa watangulizi wake,CCM ndio mwajiri wa Rais hakuna mtu mkubwa zaidi ya CCM
 
Ndiyo maana mi maza simtaki sababu siyo mbara mwenzetu na anataka kutugawa kwa maslahi yake binafsi
Wewe acha tabia zako za kibaguzi. Ukimaliza kujibagua kiubara baadaye utakuja kubagua watu kimkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji, kitongoji, kaya hadi kwenye familia yako utapanda tabia ya ubaguzi. Wewe si ajabu siyo mtanzania.
 
Hujui chochote! Wewe na Makonda wote " Manzi ga Nyanza"!
 
Wewe acha tabia zako za kibaguzi. Ukimaliza kujibagua kiubara baadaye utakuja kubagua watu kimkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji, kitongoji, kaya hadi kwenye familia yako utapanda tabia ya ubaguzi. Wewe si ajabu siyo mtanzania.
Sawa dada angu
 
Kama ilivyoanishwa katika katiba ya chama cha mapinduzi ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2018 ibara ya 107 ibara ndogo ya 2 seheme a-f. Asante sana
 
Ukimuona mbwa anabweka sana ni kati ya haya mawili;
1. Yupo karibu na kwao! AU
2. Mmiliki wa "mbwa" yupo karibu

Bashite ana maagizo maalumu aliyopewa na "boss" wake kwani inaonekana huyu BOSS ameshachafukwa na yule "MSTAAFU'
 
Mswahili anaweza kukusema kwa kanga tu! au kukusunya au kukukata jicho.
YeYe ameamua kumtumia Makonda na Mpoto kufikisha ujumbe kwa anao-pretend anaheshimianan. nao.
 
Tafsiri yako si sahihi hata kidogo wote tumemskiliza,vyura ni nyinyi.

Mwisho aliwapongeza wajumbe wote wa kamati kuu na halimashauri kuu kwa kupitisha jina lake


Wewe una mimba ya Makonda sio bure kwa hili ghubu
Kiko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…