Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Makonda anaielewa audience vizuri na anahakikisha inamjadili yeye na personality yake kuliko matatizo ya msingi ya watanzania ambayo hayajasababishwa na tabia yake. Watanzania baadhi wanahurumia watu ambao wanawajibishwa kwa kuwa nafasi walizopewa na wanazolipwa kwa kodi zao hawazifanyii kazi ipasavyo. Wanataka wawajibishwe kwa namna fulani hiviii waliyozoea. Kazi Iendelee.