Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Mzee mgaya na wewe umeshapiga U-turn umeshakuwa chawa wa makonda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama ndio kikubwa,tuko pamoja?Nani ni mkubwa kati ya Makonda na Waziri Mkuu?
Acha wivu wewe mamaAcha kumlinganisha Magufuli na uchafu.
Anataka kumu outsmart prime ministerNani ni mkubwa kati ya Makonda na Waziri Mkuu?
Tafsiri yako si sahihi hata kidogo wote tumemskiliza,vyura ni nyinyi.Kwa hiyo hata hiyo kauli kuwa Rais aliingia na jina lake Kamati kuu bila kujali kelele za Vyura (wajumbe wa Kamati kuu) nayo ni maagizo tuu?
Tunaposema madaraka wasiwape watu ZERO BRAIN huwa tunamaanisha.
unajua kwamba yeye ni mkubwa kuliko wazir wakoIlikuwa dharau kumpa Waziri mkuu muda. Yani hata Rais mwenyewe hawezi kufanya vile. Mtatoa ufafanuzi Hadi mchoke
Jiulize nani ni mkubwa Kati ya CCM na Serikali?Nani ni mkubwa kati ya Makonda na Waziri Mkuu?
Nilimkubali sana Shujaa Magufuli 😂Mzee mgaya na wewe umeshapiga U-turn umeshakuwa chawa wa makonda?
Usiwe Chura 😃😃Sio kweli...huwezi kuwafananisha.
Alisimuliwa hivi: "Mwanangu Makonda unajua nilitumia kofia yangu kukupa hii nafasi? Wajumbe hawaktaka nikupe hii nafasi hivyi chapa kazi" mwisho wa kunukuuKwa hiyo hata hiyo kauli kuwa Rais aliingia na jina lake Kamati kuu bila kujali kelele za Vyura (wajumbe wa Kamati kuu) nayo ni maagizo tuu?
Tunaposema madaraka wasiwape watu ZERO BRAIN huwa tunamaanisha.
Mhusika kaogopa kuwaambia moja kwa moja katafuta wa kuwaambia 😂😂Tokea ameanza kutoa maelekezo yake siku ya kwanza kwa Mawaziri na Jana kwa Mhe. Waziri Mkuu, yeye anelekezwa tu na anaongea kwa mujibu wa chama utamsikia akisema ameagizwa, hivyo hata akiongea kwa namna yotote ile ifahamike kuwa ameongea kwa maelekezo, tusijesema ameanza tena, kwa sasa ipo wazi kuwa ameelekezwa, huo ni mtazamo wangu tu labda kama kuna mtu ana mawazo tofauti
Acha kuwa mpumbavu, ukubwa wake ni Nini?, Yaani katibu uenezi anakuwa mkubwa kwa waziri mkuu?. Nchi imejaaa wajinga.... Umewahi kusikia au kuona katibu uenezi toka kuwepo kwa CCM aliyemwamrisha waziri mkuu?.unajua kwamba yeye ni mkubwa kuliko wazir wako
Duu!,kwahiyo unahisi magufuli karudi kivingine?Nilimkubali sana Shujaa Magufuli 😂
Mtanikumbuka 😂😂🔥Duu!,kwahiyo unahisi magufuli karudi kivingine?
waziri mkuu ni mjumbe wa kamati kuu , makonda ni mmoja wa viongozi wa kamati kuu , sasa utajua mwenyewe mkubwa ni naniNani ni mkubwa kati ya Makonda na Waziri Mkuu?
Vita kati ya Makonda na Nape lazima beberu afe.Tunafahamishana tu kwa wale mliolala usingizi Kwamba Shujaa Magufuli amerudi kivingine
Hii haina kuremba Hapa Kazi Tu na 4R
Mungu wa mbinguni awabariki 😀