Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

Kwa hiyo hata hiyo kauli kuwa Rais aliingia na jina lake Kamati kuu bila kujali kelele za Vyura (wajumbe wa Kamati kuu) nayo ni maagizo tuu?
Tunaposema madaraka wasiwape watu ZERO BRAIN huwa tunamaanisha.
Tafsiri yako si sahihi hata kidogo wote tumemskiliza,vyura ni nyinyi.

Mwisho aliwapongeza wajumbe wote wa kamati kuu na halimashauri kuu kwa kupitisha jina lake


Wewe una mimba ya Makonda sio bure kwa hili ghubu
 
Kwa hiyo hata hiyo kauli kuwa Rais aliingia na jina lake Kamati kuu bila kujali kelele za Vyura (wajumbe wa Kamati kuu) nayo ni maagizo tuu?
Tunaposema madaraka wasiwape watu ZERO BRAIN huwa tunamaanisha.
Alisimuliwa hivi: "Mwanangu Makonda unajua nilitumia kofia yangu kukupa hii nafasi? Wajumbe hawaktaka nikupe hii nafasi hivyi chapa kazi" mwisho wa kunukuu
 
Tokea ameanza kutoa maelekezo yake siku ya kwanza kwa Mawaziri na Jana kwa Mhe. Waziri Mkuu, yeye anelekezwa tu na anaongea kwa mujibu wa chama utamsikia akisema ameagizwa, hivyo hata akiongea kwa namna yotote ile ifahamike kuwa ameongea kwa maelekezo, tusijesema ameanza tena, kwa sasa ipo wazi kuwa ameelekezwa, huo ni mtazamo wangu tu labda kama kuna mtu ana mawazo tofauti
Mhusika kaogopa kuwaambia moja kwa moja katafuta wa kuwaambia 😂😂
 
unajua kwamba yeye ni mkubwa kuliko wazir wako
Acha kuwa mpumbavu, ukubwa wake ni Nini?, Yaani katibu uenezi anakuwa mkubwa kwa waziri mkuu?. Nchi imejaaa wajinga.... Umewahi kusikia au kuona katibu uenezi toka kuwepo kwa CCM aliyemwamrisha waziri mkuu?.
 
Kuna wakati Katibu mwenezi na msemaji wa CCM alikuwa akitumia maneno "nataka" Kasimu Majaliwa, Waziri, wakuu wa mikoa, nk wafanye hivi na vile. Utamaduni huu ni mpya kwa watanzania kuona msemaji wa CCM akiwa na nguvu nyingi kama hizi.

Serikali imebanwa sana na upinzani?
CCM imepasuka?

Waziri Mkuu hafanyikazi yake? Hatakiwi?

Kifo cha Maguli kinaisumbua serikali?

Haya ni miongoni mwa maswali tunayojiuliza Watanzania baada ya ujio wa Makonda.
 
Si akajisahau bwana Bashite akawaa anasema "Nataka niwape salama kutoka kwa Dr magufuli...ah Dr samia" DAB bado anatembelea kivuli cha John lazima wanyooke CCM na watajuta.
 
Back
Top Bottom