Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

Waislam wa Tz nyie sio waarabu. Acheni kuumia kwa ugomvi wa ndugu
 
Kutoka 17:14
BWANA akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.
 
Huku tulishapita ndugu
 
Imeandikwa wapi
 
Kwahiyo angesema Tz miaka ijayo itakuja futika kwenye ramani ya dunia, basi ungeamini? Wacha utopolo! 🤣
 
Hawajafurushwa na mtu, wametoka wenyewe kwani waliloenda kulifanya washalifanya, ya nini kutumia zaidi hela ya umma, wakati washatimiza yao?
Since 9/11 the United States has decimated al Qaeda, given Afghans an opportunity to determine their own future & honed them with the ability to strike terrorists.
In April 2021, news reports stated that President Joe Biden was planning on a full withdrawal of the remaining 2,500 troops in Afganistan on September 11, 2021, the 20th anniversary of the September 11 attacks. According to the plan NATO troops would also follow the same withdrawal timeline. The United States won't pull out all of its troops because some troops whose exact number had not yet been decided will remain in the country to provide diplomatic security. Secretary of State Antony Blinken said the decision was to focus resources on China and the COVID-19 pandemic.
 
Marekani kuondoka Afghanistan ni laana? Kwani ni kwao kule? Alitakiwa akae mpaka lini kwani.

Nicholas Madulo wapiganae nae kwa sababu zipi. Kwani jeshi la Marekani kazi yake ni kupigana kiholera? Kwa nini unataka wapigane na Madulo ili isionekane wamelaaniwa

Nyie ndio mnasababisha Israel aendelee kuwapiga Wapalestina kwa vile akiwaacha anafanya nao makubaliano mtasema amewaogopa.
 
Kazi ya Marekani na Israel ndio hiyo kupiga kiholela.Na sio sisi tuliosema bali ni wao wenyewe kuwa mwisho wa Maduro ni mwezi ujao au Assad ataondoka wiki mbili zijazo.Iwapo wameshindwa kuwaondoa inakuwaje wewe unawatetea na unakataa kuwa huko ni kushindwa.
Makubaliano na Hamas nawafanye na hatuwakatazi lakini twajua Hamas kwa kufuata muongozo wa Qur'an kuhusiana na mayahudi hawalali hata siku moja na hakuna siku watainua mikono kwamba wameshindwa.Kwa upande mwengine Israel itachoka kuporomosha majengo lakini haitawashinda waislamu wa Palestina.
 
"They Jews left BLACK and returned WHITE" hii nukuu ya rais wa misri Gamal Nasser according to the Bible....

Wale ni wavamizi ndio maana wapalestina hawawezi kukubali kuondoka kwenye nchi ile
 
... kabeba samaki au vilipukizi? Ilikuwa sahihi wamuhi kabla hajaleta madhara; safi sana. Waache ujuaji.
 
Ukishaanza kuweka mtazamo wa kidini kwenye mgogoro wowote ule unakuwa unafanya makosa. Hii issue sio religious war, hii sio kama Sereka VS Antibaraka ya C.A.R

Hata kama wanaopigana wana dini tofauti ila dini zao hazitawafanya washinde vita. India mara kibao inaitandika Pakistan wakati Wahindi wengi wanaabudu ng'ombe.

Madulo au Assad kutoondoka bado sio dalili ya laana. Huo ni uvamizi US na Israel walifanya Syria na US alitaka afanye kwa Maduro. Unataka kumaanisha mvamizi akighairi kuvamia au asipoendelea hiyo ni laana
 
Mkuu Fredwash shukran kwa ufafanuzi ila hizi Imani na Dini za mapokeo ukichunguza kwa akili timamu unagundua ni kama tamaduni na mila tu za hawa jamaa.


Its true ... tafsir rahis ya DINI ni mwongowo flani wa mtu kuishi. Kwa kifupi DINI nimlife syle na ndo maana huwe kuitofautishabna tamaduni ... rejea Dini zingine kama BUDHA... ukiangalia mwanzishi wa Dini ya Budhaa.. ni mwana mfalme
ambaye alidai ameoteshwa na kutakiwa kuosho aina flan ya maisha.. maisha ya kujinyima na kusaidia maskini.

ukija kwa Mkristo na mwislam wote kauli mbiu ni hiyo hiyo kuwa mkarimu saidia wenye uhitaji jiepushina mafarakano na mambo mabaya...hata DINI za mababu za kuabudu mizimu kauli mbiu zilikuwa hizo hizo..


la kama dibinzote zingeishia hapa the world would have been a better place... ila shida inaanzia hizi life style Inazoitwa DINI zinapochanganywa na tamaduni ndo hapo vita... mafarakano.. na utengengano vinaanza..

hata babu zetu waliacha dini zao sababu mzungunna mwarabu waliona taratibu za mababu za kuabudu ni za kishenz ila zao ndo sahihi.. au mtu anakwenda dini ingine kutoka yake aliozaliwa nayo sababu ni tamaduni

Misingi ya Dini zote ni ile ile kudumisha upendo na Aman mengine yaliobaki yanakuwa influenced na hao waliotuandikia hivi "vitabu vyeti vitakatifu" vya dini zetu
 
Hivi myahudi Yesu yeye alikuwa hatawadh na kusujudu
 
Hivi myahudi Yesu yeye alikuwa hatawadh na kusujudu

Inasemekana.. narudia tena "inasemekana " sababu hiz dini zetu tunajua kile Ancestor walioandika hv vitabu walichopanga sie kujua..

moja ya sababu ya Wayahud wa enzi hizo kina pilato herode na makuhani wao kumchukia Yesu ni kuwa alikuwa anaenda againts na taratibu ambazo zilikuwa zimezoeleka..

kama ni msoma biblia utaona Yesu alitibu bibi kizee alikuwa anavuja dam maisha yake yote siku ya sabato.. wakat wayahud wanaamini unatakiwa upumzike.. aliingia na viatu kwenye sinagog... alipinga adhabu za kupigana mawe kwa wazinzi au kukatana mikono kwa wezi.. na mengine mengi

so wayahud wa enz hizo waliona jamaa anawaharibia.. kumbuka enzi hizo Mamlaka za kitawala zilikuwa zimefungamana na Dini kama unavyoona nchi za kiarabu ..

hata inchi za ulaya miaka ya karne ya 19 ilikuwa hivyo pia angalkana Uk huku italy, france hadi uhispania ukatoliki chini ya Roma

kwa hiyo kitendo cha Yesu kuwaambia watu wasijifanye miungu watu kutoa hukumu wakati wao pia sio wasafi wakaona anataka kuleta some. sort ya free of speech na haki za binadamu wote ni sawa. tena akaajitaa masiha

hapo ndo ugomvi ulianza.. otherwise nje ya hayo angekuwa ni mhubiri dini kama mtu yoyote yule wasingekuwa na time nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…