Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

jihu rahisi ni kuwa sio sawa... sababu nje ya biblia judaism ni mchanganyiko wa Imani na tamaduni za kiyahudi

Ukristo ni imani tu....similarties na judaism zinaishia kwenye biblia tena agano la kale

mfano uislam na judasim similarities zao ziko kwenye tamaduni. na kidogo imani..wote wana Adhini kuitana kuswali.. wote, wanasujudu, wote hawaingii na viatu kwenye nyumba za ibada..wote wana uchaguzi wa vyakula..

wote wanatumia torah (Agano la kale) ... ingawa waislam wanaamini Wayahud wamechakachua Torah yao ...ndo maana quran ikashushwa
Mwamedi kakuingia sana mpaka umekuwa muhakiki wa imani za wengine, mwamedi alieoa kibinti cha miaka tisa ,?anaesema chinja watu ila wakubali imani yake , asee itamchukua mjinga kumwamini
 
duuh,this is Really propaganda,Mungu huyu ninaemjua hawezi kukaa upande wa madhalimu haiwezekani mtu akupore ardhi yako halafu Mungu awe upande wake,vitu vingine tutumie logic tusikubali kulishwa propaganda,siye Mungu huyu ninaemjua anayeweza kuwa hivyo ulivyoaminishwa
Wew ambaye hujui ndio unaona propaganda kwani mwaka 1948 Israel [emoji1134] alikuwa na eneo gani na leo anaemeo gani kuanzia golan heights mpaka gaza strips na syria na lebanon mbabe kachukua , wew unaona propaganda , mwarabu kafurushwa kweli yaaa.ni
 
Kuna sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria.

Huyu sheikh alitabiri miaka ya nyuma waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi. Watu walimbeza angalia yaliyotokea Libya na Syria.

Jana katabiri miaka ishirini ijayo Israel itafutika kabisa na kutoweka na watawaangukia hawahawa wapalestina kuomba msaada.

Ni taifa lililoaniwa na Mungu atawanyoosha.

Muda siyo mrefu mafedhuli mayahudi baby killers wote wataangamia.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
dua ya shetani haipatagi mtu wa Mungu. mnaangalia israel tu, mbona rocket rundo zinarushwa israel hamlaani hamas? hivi ukiwa umekaa nyumbani kwako halafu mtu anarusha rocket kutaka kulipua wewe na familia yako utakaa kimya? ukimzibua huyo mtu hata akikuombea mabaya yatakupata?
 
Hao wazayuni lazima walipe hayo maovu, kivipi itajulikana tu wakati huo, swala la dua hatujuwi, maana dada mange halikumathiri sasa haliaminiki kivile.
hamas pia lazima walipe kwa maovu na ugaidi wanaoufanya, na ni israel ndio watakaowalipa kwa kuwashikisha adabu.
 
Ukishaanza kuweka mtazamo wa kidini kwenye mgogoro wowote ule unakuwa unafanya makosa. Hii issue sio religious war, hii sio kama Sereka VS Antibaraka ya C.A.R

Hata kama wanaopigana wana dini tofauti ila dini zao hazitawafanya washinde vita. India mara kibao inaitandika Pakistan wakati Wahindi wengi wanaabudu ng'ombe.

Madulo au Assad kutoondoka bado sio dalili ya laana. Huo ni uvamizi US na Israel walifanya Syria na US alitaka afanye kwa Maduro. Unataka kumaanisha mvamizi akighairi kuvamia au asipoendelea hiyo ni laana.
Mvamizi akitoa ratiba kwa kujigamba halafu ikaonekana hakufanya huwa ameshindwa.Na kushindwa mara nyingi ni dalili ya laana.Laana maana yake ni nguvu iliyo kuu isiyojali mipango ya kibinadamu na hutoka kwa Mwenyezi Mungu pekee.
 
dua ya shetani haipatagi mtu wa Mungu. mnaangalia israel tu, mbona rocket rundo zinarushwa israel hamlaani hamas? hivi ukiwa umekaa nyumbani kwako halafu mtu anarusha rocket kutaka kulipua wewe na familia yako utakaa kimya? ukimzibua huyo mtu hata akikuombea mabaya yatakupata?
Na jee utafanya nini anapokuja mtu akakutoa kabisa nyumbani kwako ili akae yeye.
 
Mwisho wa Israel ukikaribia
Basi ujue na mwisho wa dunia umekaribia.
Acha waendelee kutamba tuendelee kuishi
 
Mwamedi kakuingia sana mpaka umekuwa muhakiki wa imani za wengine, mwamedi alieoa kibinti cha miaka tisa ,?anaesema chinja watu ila wakubali imani yake , asee itamchukua mjinga kumwamini

if you read between the line... utajua mi ni muumino wa kitu gani... kwa kukusaidia mi ni mkristo ila siko biased..
 
Mwisho wa Israel ukikaribia
Basi ujue na mwisho wa dunia umekaribia.
Acha waendelee kutamba tuendelee kuishi
Watu hawajui kuwa israel [emoji1134] ni saa ya dunia watu wanajitoa ufahamu tu , ile nchi ya mashariki ya kati ilikuwa yao kabla ya kwemda utumwani babeli , wamarekani wakawarudishia mwaka 1948 , na ndio maaana mmarekani kabarikiwa kuwa taifa lenye nguvu mpaka. Leo
 
wayahud sio wakristo Dini yao ni Judaism ni mchanganyiko wa mafundisho ya Agano la kale na taratibu za kiasili za wayahudi...

kama ilivyo kwa Islamic religion ina mchanganyiko wa Taratibu za kidini na tamaduni za kiarabu

judaism ni moja kati ya dini kubwa tatu. ulimwengunk wayahud sio wakristo... hawaamini kuwa Yesu ndie mwokozi na alietabiriwa na yohana mbatizaji.. wao wanasubir mwokoz wao..

tofauti ya Mkristo na Myahud ni kuwa Myahud hana Agano jipya kwenye Biblia yake (Hebrew bible) anatumia Agano la kale tu kwa maana hiyo yeye anafata mafundisho ya agano la kale .. kumbuka Agano jipya ni kumhusu yesu na maisha yake na wao wanaomuona yesu ni mwanaharakati tu na inspirational leader sio Holy figure (Masihi)

ila Ukristo umetoka kwenye judaism ( sexond temple of judaism) ndo maana kuna wayahud wakristo kwa maana ya wanaomwamini Yesu Kristo

Biblia ya Wayahud na ya wakristo ziko sawa tofauti ni ya wakristo imeongezeka Agano jipya ambalo wayahud hawalitambui .. Mkristo maana yake ni anatemfata kristi ambaye ndio Yesu

So kwa ufupi ukiwa ww mkristo ukaingia kwenye kanisa (sinagogi) la wayahud kama unaelewa kiebrania hautapata shida kusali... shida yako itakuwa ni zile taratibu zao za kusali za kiasili (hawakai kwenye viti hawaingii na viatu na wanasujudu) kama unavyoona waislam...

chimbuko la kusujudu au kutokuingia na viatu kwenye masinagogi yao.. wayahud wamepata kutoka kwenye agano la kale pale Musa alipoongea na Mungu kupitia kichaka kilichokuwa kinawaka.. akaambiwa via viatu hapa ni mahali patakatifu.

tukihitimisha ni kuwa Wakristo wanafata mafundisho ya Yesu ambaye kwake yeye life style na material things (kama mavaz na aina ya vyakula ) sio issue kwake , issue ni kuwa msafi wa kiroho na imani. wakat wayahud wanaamin mafundisho ya Musa (agano la kale) ambalo linatoa muongozo wa jinsi ya kuishi na aina ya vyakula.
YAPO MAMBO INATUBIDI TUYABADILISHE ILI TUENDANE NA MATAKWA YA BIBLIA KWA KUFUATA NJIA ALIYOIPITA MUSA.
 
Ndo maana Mimi nakaa kimya tu.kwenye haya Mambo ya Israel na parestina.
NINESHAYASOMA HAYA.
kwenye vitabu vya dini vya kiislam.
Watu hawajui kuwa israel [emoji1134] ni saa ya dunia watu wanajitoa ufahamu tu , ile nchi ya mashariki ya kati ilikuwa yao kabla ya kwemda utumwani babeli , wamarekani wakawarudishia mwaka 1948 , na ndio maaana mmarekani kabarikiwa kuwa taifa lenye nguvu mpaka. Leo
 
Siku ukiona marekani kashindwa kumlinda israel [emoji1134] na israel [emoji1134] kashindwa vita , basi jua mwisho wa dunia umefika , maaana Mungu atashuka mwenyewe kuwatete , asomaye na afahamu
NA NDIVYO ITAKAVYOKUWA YAHUAH ATAPIGANA YEYE KWA VIJINGA VYA MOTO,ONA JINSI ALIVYOIANGAMIZA SODOMA KWA VIJINGA VYA MOTO MPAKA LEO HII ENEO LILE UDONGO WAKE UMEUNGUA NA KUGEUKA KUWA KATIKA HALI YA JIVU JIVU.THE POWER OF ABBA YAHUAH.
 
NA NDIVYO ITAKAVYOKUWA YAHUAH ATAPIGANA YEYE KWA VIJINGA VYA MOTO,ONA JINSI ALIVYOIANGAMIZA SODOMA KWA VIJINGA VYA MOTO MPAKA LEO HII ENEO LILE UDONGO WAKE UMEUNGUA NA KUGEUKA KUWA KATIKA HALI YA JIVU JIVU.THE POWER OF ABBA YAHUAH.


chief naona judaism iko kwenye dam[emoji3] ....
 
Na jee utafanya nini anapokuja mtu akakutoa kabisa nyumbani kwako ili akae yeye.
kwamfano, waarabu waliovamia ardhi ya israel ambayo miaka maelfu walipewa na Mungu, utasema nani anamwondoa mwingine nyumbani kwake? mvamizi ni nani hapo?
 
Tangu nikiwa Mdogo, hua nasikia ni Palestine tu wanapigwa

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Wanapigwa miaka na miaka watu hawajui tu ila ugomvi wanaanzisha wenyewe, Muisrael hamuamini kabisa Mpalestina washajilipua mara kibao na kuwaua.
Sasa wanajihami, wakiona tu Mpalestina jirani yao haeleweki watamalizana nae, na sometime wanawafata huko huko Palestina.
Ila kuna Wapalestina wa Amani wanaishi vizuri tu Israel ndani
 
Na kuna watu wameweka bendera za Israeli makanisani, majumbani na kwenye magari yao pia.
 
Back
Top Bottom