Israeli hakuna Ukiristo hiyo 2% hapo ni wageni kama wewe ukienda Israel makao maku yenu ni RomaHivi kwanini makao makuu ya dini yetu ya kikristo yasiwe Israel halafu hawa Wayahudi hivi ni dhehebu gani..?
Endeleeni kutunga atory kuchochea chuki lkn hamtaweza kushindana na wana wa Mungu.Baba mpalestina kaenda kuchukua samaki baharini akawa anarudi akakutana na majeshi ya Israel wakamsimamisha akawasihi wamruhusu anawahi kuwapelekea chakula familia yake futari yani wakammiminia risasi na kumuua. Familia inamsubiri wanaambiwa mayahud wamemuua.
Israeli hakuna Ukiristo hiyo 2% hapo ni wageni kama wewe ukienda Israel makao maku yenu ni RomaView attachment 1789899
Hivi hiyo uislam kama ni njia ni dini ya Mungu , kwanini huyo mungu asije kuitetea hiyo dini yake yeye mwenyewe mpaka nyie ndio mjitoe muhanga , wafia dini na suruali kaptura zenuUnadhan watakuelewa!!! Wanavyopigwa palestina wao hufurahi mkuu. Ingelikua wanaopigwa ni wakristo unadhani wangekuja kutetea miyahudi hapa!!!!. Hawa sio ndugu zetu wala rafiki zetu, ni adui wakubwa kwa waislamu.
Hivi hiyo uislam kama ni njia ni dini ya Mungu , kwanini huyo mungu asije kuitetea hiyo dini yake yeye mwenyewe mpaka nyie ndio mjitoe muhanga , wafia dini na suruali kaptura zenu
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Mkuu ni kiu tu ya kutafuta mibaraka. Desperately looking for blessings that's why we put those holy flags in our dwellings.
Endeleeni kutunga atory kuchochea chuki lkn hamtaweza kushindana na wana wa Mungu.
Kuna cha kujifunza hapa mkuuIsraeli hakuna Ukiristo hiyo 2% hapo ni wageni kama wewe ukienda Israel makao maku yenu ni RomaView attachment 1789899
Unaongea utumbo tu kijana , kumbe hata hujui ile vita ya siku sita ambayo waarabu wote waliungana kutaka kuifuta Israel [emoji1134] kwenye uso wa dunia wakisaidiwa na russia [emoji635] wakajikuta wanapigwa wao , israel [emoji1134] hajawah kuanzisha vita maana anapenda amani , israel [emoji1134] pale masharik ya kati huwa haanzishi vurugu yeye , ila huwa anawatandika magaidi we hamas ambao huwa wanajitoa muhanga au wanatumiwa na iran [emoji1130] na russia [emoji635] na nchi nyingie, Israel [emoji1134] huwa anataka coexistamce na ndio maana aliwaachia msikit wa alaqsa waendelee kusali , ila kila wakileta fujo wanadhibitiw vikali , kumbuka hezbola na hamas ni magaid
Before the state of palestine, there was a country called Israel but the Nazi, Russians, and Allied members killed and pushed jewish out of their land that was located around mt. Zion, later After the defeat of Germany and it's Nazi allies, USA, Britain, France and it's Triple Entente decided to give Jewish people their original land at mt Zion, infact Jerusalem is situated on Mount Zion, so if we're to truly look at this issue with archaeological, Anthropological and any other Scientific facts we'll find that initially there was no country called Palestine.Ila Mkuu unapataje baraka kutoka kwa mporaji?, Israeli ni waporaji wa ardhi ya Palestina. Ila kwa vile ni swala limekaa kiimani zaidi wacha niheshimu imani yako ndugu.
Mwanzo 12:3,"Nami nitawabariki wakubarikio naye akulaaniye nitamlaani" ,na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Ahmed Nejaad alitabiri kuifuta Israel ndani ya utawala wake, ila mpaka anastaafu hakurusha jiwe hata jiwe ndani ya Israel. Huyu Ayatollah ni mwanasiasa aliyejificha nyuma ya dini, wala hakuna cha utabiri wowote. Tena kataja muda ambao anajuwa hatakuwepo hivyo hataweza kuulizwa kuhusu utabiri huo feki.Ni kweli hii ilishatabiriwa na ayatollah wa iran kwamba Israel haitokuwepo miaka 25 ijayo hayo aliyasema mwaka 2015 leo ni 2021 ishapita miaka 5 sheikh wa maka naye katabiri kwamba miaka 20 ijayo hii inaenda kutokea kweli
Hivi ni lini mtakuwa na akili?? Trump na Marekani wana laana gani? Subiri wakuletee chanjo ya corona ili upate wasaa mzuri zaidi wa kuandika haya unayoyasema hapa.Itakuwa huna macho kama hujaona laana iliyompata Trump.Zaidi ni kuwa laana imeipata Marekani yote.leo hawana ubavu wa kupambana na hata Nicolas Maduro.Kule Afghanistan wamefurushwa kama mbwa koko.
Tatizo wewe kama binadamu una hasira na huna uoni wa lijalo mbeleni.Allah s.w ana huruma na ana hasira lakini sio kama hizi za kwetu binadamu.
Before the state of palestine, there was a country called Israel but the Nazi, Russians, and Allied members killed and pushed jewish out of their land that was located around mt. Zion, later After the defeat of Germany and it's Nazi allies, USA, Britain, France and it's Triple Entente decided to give Jewish people their original land at mt Zion, infact Jerusalem is situated on Mount Zion, so if we're to truly look at this issue with archaeological, Anthropological and any other Scientific facts we'll find that initially there was no country called Palestine.
Palestine was a province in syria, but the Assyrian empire took control of Babylonian empire and all Israelites were taken into captive, Assyrians extended their territorial boundaries into a Israel that what brings contention around East Jerusalem.
This is but a few, many historical facts can prove. Then finally the MOSSAD can infiltrate any country in the world and assassinate anybody they want particularly those supporting their opponents so I do advice that even if we may be at liberty to comment, we should be neutral particularly we citizens of Africa because our governments can't protect us whenever Israeli mossads decides to capture.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Unaongea utumbo tu kijana , kumbe hata hujui ile vita ya siku sita ambayo waarabu wote waliungana kutaka kuifuta Israel [emoji1134] kwenye uso wa dunia wakisaidiwa na russia [emoji635] wakajikuta wanapigwa wao , israel [emoji1134] hajawah kuanzisha vita maana anapenda amani , israel [emoji1134] pale masharik ya kati huwa haanzishi vurugu yeye , ila huwa anawatandika magaidi we hamas ambao huwa wanajitoa muhanga au wanatumiwa na iran [emoji1130] na russia [emoji635] na nchi nyingie, Israel [emoji1134] huwa anataka coexistamce na ndio maana aliwaachia msikit wa alaqsa waendelee kusali , ila kila wakileta fujo wanadhibitiw vikali , kumbuka hezbola na hamas ni magaid
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Hivi ni lini mtakuwa na akili?? Trump na Marekani wana laana gani? Subiri wakuletee chanjo ya corona ili upate wasaa mzuri zaidi wa kuandika haya unayoyasema hapa.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kuna mwislam uliwahi kutengeneza mafuta??Kwani kutumia chanjo yao kuna shida gani, hata vya kwetu waislamu pia wanavitumia!! Mfano, oil, fuel n.k wanatumia.
Hivi hawa wapalestina wanarusha ma-rockets kwa ajili ya kuua nyoka na mende kwenda Israel?Nawe ukaamini?
Waarabu hawajaanza kutawanyika leo, mbona Saudia Arabia hawajatawanyika, Qatar, United Arab emirates au siyo waarabu?
Hata waafrika wanatawanyika wakimbizi kila kona.
Ila Israel kupata tabu lazima ipate tabu maana kimsingi wanawaonea wapalestina yani dunia ni sawa imebariki unyanyasaji wa Israel dhidi ya wapalestina.
Sijawahi kuelewa, inawezekana vipi eti mtu aliyeondoka kwenye eneo flani mamia ya miaka arudi basi hata wangoni wanaweza kurudi south Africa kudai eneo lao kama ndiyo hivi.