Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.

Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.

Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee kumbe hiyo meseji ni ya mwanae anawasiliana na jamaa wakakutane usiku huu kwa ajili ya jambo lao .

Na sasa yupo anajiandaa aende , wazazi kuweni makini watoto wanaharibika sana.

Hizo text nime Screenshot na kuzirusha kwangu ili niendelee kutafakari hili swala.

Nitakachomsaidia nitaua huu mchezo Leo Leo .nitakuwa uncle Mnonko.
Screenshot_20250728-185809_1753718348961.jpg
 
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.

Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya mwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.

Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee kumbe hiyo meseji ni ya mwanae anawasiliana na jamaa wakakutane usiku huu kwa ajili ya jambo lao .

Na sasa yupo anajiandaa aende , wazazi kuweni makini watoto wanaharibika sana.

Nitakachomsaidia nitaua huu mchezo Leo Leo .nitakuwa uncle Mnonko.View attachment 3421924
Hii screenshot fafanua umeipataje mkuu
 
Back
Top Bottom