Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

Umesema msg iliingia akakupa umsomee. Ila hapo ukiangalia hizo msg zimetofautiana dkk moja moja ama sekunde. Maana yake ni walikuwa wanachat. Sasa ndani ya dkk alirudisha simu kwa mama yake na ndani ya dkk hiyo hiyo ikaingia msg ukaombwa usome mkuu?
Na mimi nasubiri aje kukujibu.

Lamomy kweli unamjua huyu na mastori yake ya kidwanzi 😆 🤣
 
Kama bado unaweka style hizo italic na vingine vingine kunogesha ubao wa messages basi bado una safari ndefu mkuu
Mkuu mbona kasema ni screen ya huyo dogo akichat na bf wake,wewe direct umeenda kuleta mambo ya safari dah.
 
Watoto wa 12 age na kuendelea wanasumbua ukikaangalia kalivo afu kanavojiona kakubwa unajisemea hivi ndo vinakuja kutufia tu magetoni mu na mkongojo wangu huu ma mtu mazima yanahaha hiki si kinakufa,,mjomba nawewe acha kufatlia mambo yasiyo kuhusu kwa kiwango icho punguza uchungu usio na tija.
 
Walau amekumbuka kuulizia condom, huyo ukiongea nae atakua muelewa
Mengine ni ya kawaida hakuna jipya, hakuna ambae hajapitia hayo
Duuh kumbe kama mtu toka una 14 years umepitia hayo,hivi ladha ya tendo unakua unapata kweli?
Ndomaana baadhi ya wanaume wakigundua umeanza kufanywa zamani wanaweza wakajiona si lolote wakaamua watumie mkongo tu hakuna namna au waende kwingine wanakohisi nyeti zao walau zitabanwa.Daah aisee,na hapo ukute mnaanza mkiwa hata na 11 years.
 
Kama bado unaweka style hizo italic na vingine vingine kunogesha ubao wa messages basi bado una safari ndefu mkuu
Hiyo ni screenshot lakini
Hata ukuangalia aina ya picha inaonyesha kascreenshot kweli kutoka katika simu ya huyo Dada
 
Haya mambo hauwezi kuelewa madhara yake in future .

Huyu ni Single mama is 38 yrs na tayari mwanae wa kwanza kasha zalishwa na amekuwa single maza.

So kwa hii trending inavyoenda na huyu atazalishwa endapo asipowekewa mazingira bora.

Wewe unaongea kwakuwa hauna mtoto wa kike ambaye yupo katika age hiyo na haujui issue za parenting nini zinahitaji.

Kwakuwa anaweza kupata mimba ,magonjwa na kuwa emotional fainted
Achana kubishana na huyo,hajui PARENTING ninini.Kwaufupi muokoe huyo binti walau apunguze spidi,maana kama ana dada yake ni single mother,uwezekano ni mkubwa nayeye akafuata nyayo hizohizo,maana role model wake yupo hapohapo.
 
Back
Top Bottom