Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ila sioHuu utoto kuchukua simu mbili kujichatisha ili uje upate sifa za kijinga JF 😹😹
Kwa huyu

Kwani asiwe yeye?Ila sio
Kwa huyu
😂😂 hii ni uzi wake nauona kama sio wa pili baa wa kwazaKwani asiwe yeye?
Huyu ana story nyingi za jaba 😹
Sanaaa una anza toa ushauri wa ajabu
Sasa kama dogo kakumbuka kondom kuna la kumuonya zaidHaya mambo hauwezi kuelewa madhara yake in future .
Huyu ni Single mama is 38 yrs na tayari mwanae wa kwanza kasha zalishwa na amekuwa single maza.
So kwa hii trending inavyoenda na huyu atazalishwa endapo asipowekewa mazingira bora.
Wewe unaongea kwakuwa hauna mtoto wa kike ambaye yupo katika age hiyo na haujui issue za parenting nini zinahitaji.
Kwakuwa anaweza kupata mimba ,magonjwa na kuwa emotional fainted
Hamna mkuu she is my friend kwanza ananichukulia Kama ndugu yake so Mimi Kwa sasa Mimi Nacheza EPL na sio ligi za mchangani.Anko 😂😂😂
Mnoko unajisevia Mama ake
Na unalala kwa Mama ake.
Halafu unatakaningilia ya mtoto* haswa kama nani ake?
Amesema amescreenshots akajitumia na pia hiyo simu ya rafiki yake binti ndo huwa anamsaidia kusoma texts so ina maana huyo binti ndo ameweka hiyo fontsKama bado unaweka style hizo italic na vingine vingine kunogesha ubao wa messages basi bado una safari ndefu mkuu
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.
Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.
Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee kumbe hiyo meseji ni ya mwanae anawasiliana na jamaa wakakutane usiku huu kwa ajili ya jambo lao .
Na sasa yupo anajiandaa aende , wazazi kuweni makini watoto wanaharibika sana.
Hizo text nime Screenshot na kuzirusha kwangu ili niendelee kutafakari hili swala.
Nitakachomsaidia nitaua huu mchezo Leo Leo .nitakuwa uncle Mnonko.View attachment 3421924

Single mama wa 38yrs, binti yake nae ni single mama, binti yake mwingine wa 14yrs anaanza kuchezea dudu. Ee mola saidia waja wako, ukiona mzazi anatembea njiani anaongea, anarusha mikono, anajiuliza na kujijibu ni kama hivi. Challenges in every side of the way.Haya mambo hauwezi kuelewa madhara yake in future .
Huyu ni Single mama is 38 yrs na tayari mwanae wa kwanza kasha zalishwa na amekuwa single maza.
So kwa hii trending inavyoenda na huyu atazalishwa endapo asipowekewa mazingira bora.
Wewe unaongea kwakuwa hauna mtoto wa kike ambaye yupo katika age hiyo na haujui issue za parenting nini zinahitaji.
Kwakuwa anaweza kupata mimba ,magonjwa na kuwa emotional fainted
Umesema ukweli🤣Sanaaa una anza toa ushauri wa ajabu
🤔sijui kanatokea wapiKuna namna hata kama sio mtu wako , ukiona kuna mwamba anaenda Jilia jasho lake unakabwa na ka wivu fulani hivi🤔