Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

Umesema msg iliingia akakupa umsomee. Ila hapo ukiangalia hizo msg zimetofautiana dkk moja moja ama sekunde. Maana yake ni walikuwa wanachat. Sasa ndani ya dkk alirudisha simu kwa mama yake na ndani ya dkk hiyo hiyo ikaingia msg ukaombwa usome mkuu?
Utakuwa mwalimu wewe, attention to details..
 
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.

Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.

Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee kumbe hiyo meseji ni ya mwanae anawasiliana na jamaa wakakutane usiku huu kwa ajili ya jambo lao .

Na sasa yupo anajiandaa aende , wazazi kuweni makini watoto wanaharibika sana.

Hizo text nime Screenshot na kuzirusha kwangu ili niendelee kutafakari hili swala.

Nitakachomsaidia nitaua huu mchezo Leo Leo .nitakuwa uncle Mnonko.View attachment 3421924
Kwa hiyo ulitaka wasitomban3🙄🙄🙄
 
Umesema msg iliingia akakupa umsomee. Ila hapo ukiangalia hizo msg zimetofautiana dkk moja moja ama sekunde. Maana yake ni walikuwa wanachat. Sasa ndani ya dkk alirudisha simu kwa mama yake na ndani ya dkk hiyo hiyo ikaingia msg ukaombwa usome mkuu?
Ajibu hii kwanza alafu tuendelee
 
Walau amekumbuka kuulizia condom, huyo ukiongea nae atakua muelewa
Mengine ni ya kawaida hakuna jipya, hakuna ambae hajapitia hayo
Umri wa form 1,2,3 nlikuwa sijui kama ntawai fanya huo ujinga! Ile form4 nami ndo nikaona nimekuwa eti nikajaribu
 
Vitoto kama hvo hata vikoja ofisini hapa staki ujinga kwanza nawaambia amka kwa sauti..

Kuja vingine vinakataa kuamkia kabisa ett vinasema vinaniweza...

Sheeenziii kabisa mi namaindi sana watoto wa shule kuwa katika mahusiano aiseee..

Nikija kuta mtu yupo na mdogo angu walahi naua
 
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.

Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.

Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee kumbe hiyo meseji ni ya mwanae anawasiliana na jamaa wakakutane usiku huu kwa ajili ya jambo lao .

Na sasa yupo anajiandaa aende , wazazi kuweni makini watoto wanaharibika sana.

Hizo text nime Screenshot na kuzirusha kwangu ili niendelee kutafakari hili swala.

Nitakachomsaidia nitaua huu mchezo Leo Leo .nitakuwa uncle Mnonko.View attachment 3421924
Chai 😂
 
Back
Top Bottom