Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Unajifariji cha utundu...🤣🤣najua lakini siogopi..ubabe unanisaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifariji cha utundu...🤣🤣najua lakini siogopi..ubabe unanisaidia
Kweli vile.. najua unajua 🙂Unajifariji cha utundu...
Nachojua nakunyoshaga Cha utundu na unatulia 😘😘Kweli vile.. najua unajua 🙂
😳 😳 😳Yaani inzi ndio kipimo chako cha ubora? Kweli Africa tuna safari ndefu sana
Na mazebaki juu,full kansa.Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki. Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.
Inatisha.
Mwalimu wangu MkandawileSasa nani kakwambia supu ya pweza haina zinc?
Na chanzo ni hao Wanasiana...eps VPNilisema humu, kauli hii italeta matokeo yasiyotarajiwa.
Toto la kishuaKama mie [emoji23]
Niliumwaga sana so dokta akaniambia nisitumie hao samaki wa masafa marefu,,,,,nile nyama ya kuku wa kienyeji tu na mayai ya kienyeji,
Mkuu, mahotelini wananunua tu unga. Unga huo unatokana na mahindi ambayo yaliwekwa dawa/sumu ili yasiharibiwe na wadudu mara tu baada ya mavuno. Wasagaji huwa wanasaga tu mahindi yakiwa na dawa badala ya kuosha mahindi kuondoa dawa/sumu kwanza.Mkuu dona ya hotelini inashida gani ?
sasa tuchague lipi? wanapiga dawa ili kuzuia fungi wanao dhalisha sumu ya aflatoxin ambapo ukisaga dona tu we kwisha. sasa kilicho baki ni kuchaguaMkuu, mahotelini wananunua tu unga. Unga huo unatokana na mahindi ambayo yaliwekwa dawa/sumu ili yasiharibiwe na wadudu mara tu baada ya mavuno. Wasagaji huwa wanasaga tu mahindi yakiwa na dawa badala ya kuosha mahindi kuondoa dawa/sumu kwanza.
Haijasemwa ni wote,kumbuka athari yake kwa binadamu hata wakifanya kwa uchache inakuwa kubwa sana.Maiti Ni wengi kiasi watosheleze nahitaji ya wavuvi wote lake zone? Kuna kipindi kulitokea uvumi kuwa kuku broiler wanalishwa ARVs eti wanenepe! These are myth busters [emoji1787][emoji1787]
Study ifanyike kubaini kama chanzo ni Mecury au hiyo dawa ya maiti, kama ni Mecury watazame kama madhara yameanza kujitokeza Shy na Tabora ambako nao wanatumia maji ya ziwa hiloKumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki. Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.
Inatisha.
Dkt Mpango angekaa kimya tu huku hilo suala kama lina ukweli akalifanyia kazi ndani kwa ndani kwa sababu hatuwezi kuachia watu wakafanya uharamia huo na wakati huo huo hatutaki walaji wa nje na ndani wakapata wasi wasi wa hadharani kama huo.Ukiwa mwanasiasa na kiongozi wa nchi lazima mengine uyakalie kimya uwache watu wa mitaani wapayuke mwanzo.Ndio umejua Leo,maji Yana siri kubwa, hivi mv bukoba ilipozama miili ilikwenda wapi, samaki walijilia
Daaa! Hadi mboga mboga??sangana ana high level of unsaturated fat(mafuta) ambao hupelekea oxidation samaki huharibika, pia autolytic changes yan self degradation, enzymes zilizo mwilin mwa samaki baada ya samaki kufa hualibu mwili husababisha hatufu mbaya. formaline iliopo kwenye maji ya maiti huxuia wadudu kama izi kukaa mbali na mzoga wenda ni mbaya kwa mlaji.
ww na nxi hamna tofauti kama kwa nxi ni sumu basi hata kwako ni sumu. na wale wa mboga mboga usinunue mboga ambayo haijatobolewa na wadudu hata kidogo unanunua maradhi
Amefafanua yanatumikaje? Yanapatikanaje? Kwa kiwango gani? Waziri kalishwa matango pori halafu naye akakubali kuyala na kugaia wengineKumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki. Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.
Inatisha.