Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Punguza uoga bro mashemeji wote hamna hata mmoja mwenye kariba ya usiri? Unanyonga kimya kimya furaha unapeleka kwa mke.Acha kunifundisha tabia mbaya katika Uzee huu nilionao Mkuu 😂
Nilijiwekea mipaka kutokula hao mashemela, maana kama mafriji yao hayagandishi, huo msala wake utakuwa sio wa kitoto 🙌
40Meter kudadeki 😲😲Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
[emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo nawee umekua vawulensaa?? Ko Kumbe jana hajatindinganya chochote humu, ila kaamua kuja kushusha uzi wa kuomba msamaha na kusema kapoteza 40M??Hahaha jamani Mlongo kwani humjui min akishalewaga kujitia billionaire wa Jf??,.
The next morning aje na uzi wa kuomba radhi ili mumwambie mlevi anaongeaga ukweli kwamba kweli mpunga upo,.
Sema watu mna mbinu humu[emoji23][emoji23][emoji1316]
Afu sipendii mambo iwe ½ ½, kwaninii lakiniii aaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]Wote tumepitwa udugu naona watu wanasingizia pombe blah blah nyingi [emoji81]
Mara 40m yani tafrani
Nimesoma akili Yako, nimebaini kitu,Mimi nimejadili mada iliyopo mezani,
Wewe na shobo zako ndio uka quote comment yangu,
Huoni kua mwenye tatizo ni wewe?
Hahaha......😂Punguza uoga bro mashemeji wote hamna hata mmoja mwenye kariba ya usiri? Unanyonga kimya kimya furaha unapeleka kwa mke.
Meku na hela, wee [emoji23][emoji23][emoji23]Yani min we unatuona maphaller humu? [emoji81][emoji81][emoji81]
Wee mchaga mi mkinga upoteze 40m uje JF kutukana? Hizo nguvu unatoa wapi?
😹😹😹😹😹 shida huwa anahisi pekeyake ndio mlevi humu[emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo nawee umekua vawulensaa?? Ko Kumbe jana hajatindinganya chochote humu, ila kaamua kuja kushusha uzi wa kuomba msamaha na kusema kapoteza 40M??
Aaah baas kwishaaaa!! Meku na Nshomile ndivyo walivyo atiii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ona View bibie acha roho mbayaUzuri unajua nimemaanisha nini😃😃
Good day🤝🤝
Unajua kusoma akili za wengine ila hujui kuisoma akili yako ili kuona ujinga ulio nao!Nimesoma akili Yako, nimebaini kitu,
Si Bure una shida wewe mahala
🤣 kajamaa nimekaomba msamaha ila naona kanataka kuvimbaUnajua kusoma akili za wengine ila hujui kuisoma akili yako ili kuona ujinga ulio nao!
Unasoma akili za watu kwa kutumia hiyo hiyo akili yako au una akili zingine umeziweka kwenye mfuko wako wa shati?
Ugomvi wenu umeanza jana sema hujagundua😂Unajua kusoma akili za wengine ila hujui kuisoma akili yako ili kuona ujinga ulio nao!
Unasoma akili za watu kwa kutumia hiyo hiyo akili yako au una akili zingine umeziweka kwenye mfuko wako wa shati?
Jamani mbona tumemsamehe,.Ona View bibie acha roho mbaya
Watu K View jamaa ana hisani ya huruma kwa memba wengi
Ndio tukuulize sasa,. Umeanza lini haya mambo na ni mtu safi tu hunaga makuu😢Lee unajua unaposema natafuta attention nimeshangaa sana 🤣 ili iweje?
Ulikua safi umeanza kuzingua juzi juzi sijui umepatwa na nini🙄😃Hahahah na uzuri mmoja nimeomba msamaha nikiwa timamu ila mnatoa pony sana wana🤣