Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
A ,. Kila kitu kitakua sawa Min
Ukishakua tu mwanaJf sahau kuhusu msongo wa mawazo,. Humu tupo matherapists wa bila kulipia utapona tu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Naelewa sana , mimi sio mtu wa uzi , mpaka nimeuleta huu , natambua kosa , ila mengne huwa ni utani tu ila jana nilihamisha hasira kwa wasio husika
 
Pole sana, kwani na wewe ulituma mchango wa gari?
 
Mambo ya multiple
JF VAR CHECK

Kumbe mtu mwenyewe yupo kwenye stage ya kuhangaika kutumia vidonge ili awe mweupe! ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

 
Unajua kusoma akili za wengine ila hujui kuisoma akili yako ili kuona ujinga ulio nao!
Unasoma akili za watu kwa kutumia hiyo hiyo akili yako au una akili zingine umeziweka kwenye mfuko wako wa shati?
Hivi unaweza weka akili kwenye mfuko wa shati? samahan mkuu,una mke, ulikimbiwa? Sababu Nini? Una madeni bank au taasisi yoyote? Umekosa mbinu ya kuyalipa? Nisha kusoma

Si Bure unashida wewe mahala
 
Nimecheka kwa nguvu huku nilipo๐Ÿคฃ
Huo uzi aliomba ushauri lakini kila aliyetoa ushauri aliishia kukosolewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ