Makachero uchwara wasiotofautisha CCM na Tanzania?Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Nifikirie namimi dada,sikujua upo single, nipe nafasi pliz🙏🙏 nimeliwa sana nauli zangu na hawa watoto wa efu mbili sitaki hata kuwaona au kiwasikia❤️Mi humu nikae kimasta kumbe naweza kuokota mstaafu humu tukamalizia naye maisha
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo hadi leo hajajua kuwa JamiiForums ndiyo Mtandao pekee wenye kutoa taarifa za uhakika, za haraka na ni mahala pekee ambapo una uhakika wa kupata Uchambuzi wa Masuala mbalimbali na pia kupata Uzoefu mwingine wa Kimichango kutoka kwa Members wake Wabobezi katika maeneo husika. JamiiForums ni zaidi ya Redio, Gazeti na Runinga na Ashukuriwe na Abarikiwe sana Mtu / Watu walioamua kuja na huu Mtandao wangu pendwa hadi Kiama.Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Kaka kumbe we ni mhenga au mkongwe?mimi huu ndio mtandao wangu bora maisha yangu yote since 2009
Unafurahisha sanaNa hii ndio sababu inayo nifanya niage na kurudi jamiiforums
Cc binti kiziwi The Icebreaker Vishu Mtata ephen_ na wengine.
Sio kwamba niliaga ninaondoka bali kujiwekea kando ila jicho liko humu masaa yote kama seeviliance camera 📸
Si furahishi hata kidogo. 😎Unafurahisha sana
Nina uwezo wakubadili status muda wowote muhimu uwe unajua kutoa na kutumia pesaNifikirie namimi dada,sikujua upo single, nipe nafasi pliz🙏🙏 nimeliwa sana nauli zangu na hawa watoto wa efu mbili sitaki hata kuwaona au kiwasikia❤️
Kaka shida mitaji mfano mi biashara yangu ni mziki, shuti video afrika kusini si chini ya milioni 50 japo najua pesa itarudiHata hivyo sio lazima kuajiriwa, tafuteni mitaji mjiajiri, mtumie hizo bongo zenye shahada kupata mnachotaka.
Mawazo ninayo na plan zake, ila hizo mitaji ndio sina🤦🏽♀️Namuambia broo na sisi tunataka take home kama yeye .. mbali na kukosa mtaji ata wazo la bishara sina.
Tuongee dm, ephen_ anaumia sana anadai namuumiza moyo sijatulia kabisa, huyu Binti huyu, sijui ananitafutia target anipige huu mshahara wangu wa laki na hamsini Kwa mwezi🤣🤣🤣🤣Nina uwezo wakubadili status muda wowote muhimu uwe unajua kutoa na kutumia pesa
Hapo kwenye kutumia pesa unge bold kabisa lakini swali hizo pesa zakutumia ni za kwangu au zako dear?Nina uwezo wakubadili status muda wowote muhimu uwe unajua kutoa na kutumia pesa
Mtu fudenge akitoka kuomboleza ajiandae kwa chochote kitu.Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Je unaamini wakiamua kukutafuta hawatakupata?Jf naipenda sana unaweza kubishana na kuchimbana biti na kikwete au seleman mombo au cdf au IGP na asikufanye kitu!
Hata ngumi unampiga kabisa na jino linamtoka,
Kumbe wewe ni kitoto cha elfumbili!
Utulie mkuu, huku ukiwa mtulivu kama sisi wengine unapata hadi mke kimya kimya. Kama dini inaruhusu mkeo anakuunganisha na rafiki zake, wake wengine wadogo, ni nguvu yako ya kuwatunza tu. Kuwa mtulivu.Na hii ndio sababu inayo nifanya niage na kurudi jamiiforums
Cc binti kiziwi The Icebreaker Vishu Mtata ephen_ na wengine.
Sio kwamba niliaga ninaondoka bali kujiwekea kando ila jicho liko humu masaa yote kama seeviliance camera 📸
Tenga siku au mwezi basi twende zenji, kisiwa cha mafia au Arusha tukatembee walau siku mbili tatuNina uwezo wakubadili status muda wowote muhimu uwe unajua kutoa na kutumia pesa
Hapana leo ni siku ya kulandua kichwaLeo huingii mzigoni?
Sawa mkuu😂😎Utulie mkuu, huku ukiwa mtulivu kama sisi wengine unapata hadi mke kimya kimya. Kama dini inaruhusu mkeo anakuunganisha na rafiki zake, wake wengine wadogo, ni nguvu yako ya kuwatunza tu. Kuwa mtulivu.
ssh apambanie urais namna ile alafu aje apumzike ghafla kwa hoja ya tatizo la kiafya ?Ni kweli speculative lakini deep down wanajua kinacho jiri!!
Kuna wengine wameshaandika tayari Kuna uwezekano akaomba Pooh kwa tatizo la kiafya au shinikizo!!
Sisi tunaimba TU
Kazi na utu tunasonga mbele!!