Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

Nmekupenda bure, hata me huwa spend mtu anayebakisha chakula. N her useme kipunguzwe lakn s kukishka shka na kukiacha, huo n ulimbuken na utovu wa nidhamu.
Wanakera Sana,Ni utomvu kweli wa nidhamu na kutaka kufukuziana riziki ndani ya nyumba...imagine umwage sahani nzima?malaika mgawa riziki akipita anasema Hawa kimewazidia,anapita zake😆
 
Wewe ndo mweupe Zaidi yake mkuu,,Yani single mother WA watoto watu, kila mmoja na Baba yake! Hujiulizi hao njemba imekuwaje wote wanamwachia watoto? Au wamekufa wote?

Hebu jipige kifua useme "Mimi ni boya"
 
T
watu wa aina hiii tupo wachache sana.
 
Nimekupenda bureeee!!safi sana
 
to be honest kwa hasira ningemtomber then nika mblock kabisa
 
Bila shaka huyo dada ana tako
 
Mkuu, kama ana bima kwa nini umetumia cash?
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.

Mkuu kama kweli una nia ya kumsaidia, muite mkalishe chini umueleweshe. Kuna watu hawako smart lakini ni wasikivu. Hayo mapungufu yake uliyoyaoma mueleze. Inawezekana hao jamaa watatu walomuachia watoto ni kama wewe. Unaona mapungufu ya mwenzako badala ya kumuelekeza, unamuacha kimya kimya, na kwa kuwa hayuko smart bas hajui sababu, kesho anarudia tena yale yale anaachika.

Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
 
Nipe namba yake namm nimsaidie. Maendeleo hayani chama
 
Nilikasirika ikabidi nitoke nje nisione kile chakula kinarudi kumwagwa halaf bado nikilipie
 
Mkuu wewe ni mafia[emoji3][emoji3]
 
Hizo taka taka mnatoaga wapi aisee..na inakuaje mnazivumilia...au papuchi zao kuliko...kheeee[emoji1787]

But nimegundua ukikuta mtu hana mtu na kazalishwa ..jiulize why ameachwa...aliyeondoka kilimshinda nn[emoji28]
Single maza ni tabia halaf demu pisi kali.....
 
Wanaume pia tunafeli sn.Unamruhusu vip mtu achague anachotaka?

Kuwa director wa kika kitu mapemaa.Bwana ee tunaenda sehemu tutachoma kuku kienyeji nusu,au mzima na ndizi/chips za kadhaa.

Au pork ya namna hii.Na vinywaji ni soda ama local beer.Ni marufuku Heineken na so like beers.

Utaona kama atakataa.Tabu zote hizo za nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…