Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
Lakini hakuna sababu ambayo wanaweza kujitetea nayo tukawaelewa!!Tatizo mfumo wa jeshi ni mfumo wa kufuata amri kutoka juu.
Na wale wa juu ni watu wa mfumo wa utawala/CCM.
Sasa hawa wa chini mnaokaa nao poa mtaani hata kama ni watu wazuri, ni vigumu kufanya wanavyotaka wao, kwa sababu wao wanatekeleza amri za kutoka juu tu.
Labda kama kutokee mpango wa vikosi vingi vya askari wa chini kujioanga na kupingua nchi.
Niliona kuwa kuna tatizo na jeshi letu hapa juzi wapasua matofali wetu walipofurushwa kule DRC. Kagame sijui ndiyo akaenda kuwaokoa huko. Walipita Rwanda pale wanakaguliwa mpaka chupi utafikiri vibaka. Lt. Col. kabisa anaamrishwa na Koplo wa Kinyarwanda kutoa kila kitu alichonacho na kisha kufanyiwa hard search. Niliumizwa sana na udhalilishaji ule na nikajua kuwa hapa hatuna jeshi bali wapiga raia kwenye mabaa huko wakigombea machangudoa. Hakuna nidhamu, hakuna cho chote yaani yapo yapo tu yakienda makambini huko ni kufyeka na kufagia jioni wanarudi mtaani kugombania bia na mademu bar.Watu wengi walikuwa wanashobokea jeshi tukawaambia hapo hakuna jeshi.
Wakawa wanabisha sana kwa mahaba.
Sasa ukweli tumeujua.
Nyani Ngabu
Unaongelea Jeshi la Wananchi au Jeshi la Polisi?Lakini hakuna sababu ambayo wanaweza kujitetea nayo tukawaelewa!!
Nje na kazi yao nao ni binadamu kama sisi iweje wafanye unyama vile?
Umeeleza vyema sana. Na hapa ndipo tulipofika!Unaongelea Jeshi la Wananchi au Jeshi la Polisi?
Jeshi la Polisi lina makosa ya moja kwa noja kwa kuua wananchi na kushindwa kuwalinda.
Kesi ya polisi iko wazi na ya moja kwa moja.
Kosa la Jeshi la Wananchi Tanzania ni complex kidogo. Kwa sababu wao kimsingi kazi yao ni kulinda mipaka ya nchi, na kulinda raia kutoka maadui wa nje, na ndani ya nchi wanaingilia pale watakapoitwa na polisi.
Kisheria na kikatiba wanajeshi wanatakiwa kufuata amri za viongozi wa kiraia kisiasa.
Na hiki ndicho kitu walichofanya.
Tatizo inaonekana viongozi wa kiraia wamepanga mauaji.
Wanajeshi wangefanyaje? Kulikuwa hakuna jinsi ya kuzuia mauaji yale bila ya wanajeshi (JWTZ) kuanza kupigana vita na polisi na kufanya mapinduzi ya kijeshi.
Na hatujui ingetokea vita kati ya polisi na wanajeshi nchi ingeishia wapi.
Hapa root cause ni uongizi wa kiraia uliopanga mauaji.
Jeshi (JWTZ) lime fail kwenye intelligence, na lime fail kuzuia mauaji, lakini tunategemea vipi lisi fail wakati kikatiba limeamriwa kutii viongozi wa kisiasa ambao ndio waliopanga mauaji?
Let's say Jeshi lina wajibu wa kukagua mizigo inayoingia nchini, likataka kukagua makontena fulani, halafu likaambiwa hii ni mizigo ya Ikulu, haitakiwi kukaguliwa. Likatii amri.
Hapo kama jeshi limeshindwa kugundua silaha zimeingizwa, litakuwa limefanya makosa kutokujua au mfumo wenyewe ndiyo umeioa Ikulu nguvu sana na umelifelisha jeshi?
RABAIKAMuda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga uaminifu mkubwa sana kwa jeshi lakini kwa mauaji haya ninyi sio Jwtz tena bali mpo kwa ajiri ya kulinda watawala.
Najiuliza maswali sipati majibu au huenda mliamua kuua raia kama kufidia vile Tz hakuna vita unaanza kazi hadi unastaafu hujawahi ua hata panya basi kwa kuona ule mwanya ndo mkafanya mashindano ya kulenga shabaha ya kuua wananchi wenu?
SIJALALA KABISA
Kipindi kile captain Tesha amefanya ile press halafu akatuahidi kuwa atarudi kabla ya tarehe 29, nilimuuliza dogo mmoja ambaye ni intake ya 2018 huko JWTZ kuwa ni kweli Tesha ana watu wengi ambao wako nyuma yake? hakunijibu direct, ila tu kikubwa alichoniambia ni kwamba nafasi za kule juu karibu zote wamejaa wazanzibar na sio JWTZ tu mpaka TISS, na hivyo basi tunachokitarajia kutokea si jambo rahisi.Niliona kuwa kuna tatizo na jeshi letu hapa juzi wapasua matofali wetu walipofurushwa kule DRC. Kagame sijui ndiyo akaenda kuwaokoa huko. Walipita Rwanda pale wanakaguliwa mpaka chupi utafikiri vibaka. Lt. Col. kabisa anaamrishwa na Koplo wa Kinyarwanda kutoa kila kitu alichonacho na kisha kufanyiwa hard search. Niliumizwa sana na udhalilishaji ule na nikajua kuwa hapa hatuna jeshi bali wapiga raia kwenye mabaa huko wakigombea machangudoa. Hakuna nidhamu, hakuna cho chote yaani yapo yapo tu yakienda makambini huko ni kufyeka na kufagia jioni wanarudi mtaani kugombania bia na mademu bar.
Halafu nadhani kuna kitu hakiko sawa maana karibu kila tawi la jeshi linaongozwa na wavaa kanzu. Na hawa dini yao inawaambia kuwa ni marufuku kuasi dhidi ya kiongozi wa dini yao. CDF yuko pale lakini ni kama vile kabananishwa na hawa jamaa hawezi kufanya cho chote maana kibao kinaweza kumgeuka yeye. Vinginevyo Oktoba 29 huyu mama wangemfurusha badala ya kuamua kuua raia.
Jeshi jasiri la akina Major General Mayunga lililomfurusha Idd Amin halipo tena. Na kwa vile haliungwi mkono na raia, kwa sasa hata tukigombana na Malawi tutapigwa mpaka tuchakae. Ndiyo maana kichaa Keinerugaba na babake wameanza kufoka foka tena kuhusu Kagera yao maana wanajua kwamba hatuna jeshi.
View attachment 3502656
Madogo wamenibomolea supermarket yangu hapa mjini..mm niliwakosea nini?kama walikuwa na ugomvi na government wangebomoa ya government...yaani hapa hata sielewi nifanyeje?mtaji umekata ..Mkuu wewe unaona no sawa haya mauaji?
Wewe bado mchanga sana kwenye mambo hayo. Elewa msemo kwenye msafara wa Mamba na kenge wamo!Madogo wamenibomolea supermarket yangu hapa mjini..mm niliwakosea nini?kama walikuwa na ugomvi na government wangebomoa ya government...yaani hapa hata sielewi nifanyeje?mtaji umekata ..
Yaani wale ni wezi/vibaka na sio waandamanaji..sisi mtaani wezi Huwa Yao ni matairi na fire
Ya Hussain!RABAIKA
Sio mm tu kwenye line yetu yenye fremu kama 10 ni kama waliteketeza Kila kitu na walivyokuwa na roho mbaya wakishindwa kubeba vitu walikuwa wanavichoma ..imagine huo unyama kwa watz wenzao ambao ni innocent..mm binafsi siwezi kuwaunga mkono na Dec 9 nalinda duka langu na wakijaribu kusogelea TU chuma itakuwa halali Yao...Wewe bado mchanga sana kwenye mambo hayo. Elewa msemo kwenye msafara wa Mamba na kenge wamo!
Hivyo kwenye watu 3000 hiwezi koswa vibaka200 piga ua iko hivyo.mimi niliandamana sikula cha mtu
Elewa kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.Sio mm tu kwenye line yetu yenye fremu kama 10 ni kama waliteketeza Kila kitu na walivyokuwa na roho mbaya wakishindwa kubeba vitu walikuwa wanavichoma ..imagine huo unyama kwa watz wenzao ambao ni innocent..mm binafsi siwezi kuwaunga mkono na Dec 9 nalinda duka langu na wakijaribu kusogelea TU chuma itakuwa halali Yao...
Sasa mmepata faida gani?sisi tumepoteza mali zetu ,nyinyi mmepoteza uhai wenu kwann tusikae chini tukaachana na haya maandamano ?maana zaidi zaidi ni hasara kuliko faidaElewa kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.
Kama hujaelewa basi unashida kubwa. Pia kulinda duka lako hakuna Mahali umekatazwa kuhusu kujiunga nao kuandamana hakuna waraka wowote umetumiwa ukikulazimu kufanya hivyo.
Mkuu usijipe umuhimu ambao hauna!
Natamani sana haya mambo yangekua yameisha siku ya uchaguzi, ila ndio hivyo tena, mambo haya tumeyaona tena kwa farao na viongozi wenye haiba hiyo, swali langu ni hili!? Haya mambo yataenda kwa muda gani!? Huyu ambae hasikilizi kitu ataongoza kwa mwendo huu kwa hiyo miaka mitano!? Refa alizingua sana ile siku basi tuMuda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga uaminifu mkubwa sana kwa jeshi lakini kwa mauaji haya ninyi sio Jwtz tena bali mpo kwa ajiri ya kulinda watawala.
Najiuliza maswali sipati majibu au huenda mliamua kuua raia kama kufidia vile Tz hakuna vita unaanza kazi hadi unastaafu hujawahi ua hata panya basi kwa kuona ule mwanya ndo mkafanya mashindano ya kulenga shabaha ya kuua wananchi wenu?
SIJALALA KABISA
Utazoea tuNimeacha kuangalia video hii ya mwananyamala ni ya mwisho
Kwa ajiri ya afya yangu ya Akili.
Inasikitisha sanahii nchi utawala wake umeumiza wengi sana kwa hili aisee halitasahaulika
Kwani yale ni maandamano au uhalifu na uporaji ulikuwa, na kama maandamano lengo liikuwa ni nini?
Mimi nakaa karibu na kambi ya jeshi na washkaji zangu wa wa Mtaani ni wanajeshi... Toka yatokee mauaji ya October 29 nimekata mazoea na nimeweka ukauzu flani sitaki mazoea ya *******..Yaani kwasasa nikipishana na wanajeshi nawaona mafala tu.