Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

Ila hata kama degree yako uliipata TEKU basi ficha ujinga wako watu wasijue... we mbw..a umesema jeshi la Tanzania ni namba sita duniani au nimekusoma vibaya?
 
Sasa mmepata faida gani?sisi tumepoteza mali zetu ,nyinyi mmepoteza uhai wenu kwann tusikae chini tukaachana na haya maandamano ?maana zaidi zaidi ni hasara kuliko faida
Unapodai haki ipambanie hadi tone la mwisho. Huku kwetu ukivuka mpaka wa shamba au kiwanja hata kama ni cm 30 panga ni halali yako kama hutakubali.

Hivyo wacha tufe hadi tuishe kabisa mbaki ninyi tu
 
Mapambanao yoyote huwa hayana kikomo hadi haki ipatikane. Bila haki basi wajipange kutupurua kabisa watumalize wote wabaki wao na Uvccm lakini mimi mtazamo wangu napinga
 
Unapodai haki ipambanie hadi tone la mwisho. Huku kwetu ukivuka mpaka wa shamba au kiwanja hata kama ni cm 30 panga ni halali yako kama hutakubali.

Hivyo wacha tufe hadi tuishe kabisa mbaki ninyi tu
Duniani hamna haki!..tunajidanganya sana haki ni Kwa mola pekee!!
..nyie tokeni mkafe mm sitatoka kabisa ila nitalinda supermarket yangu ole wenu mjichanganye tena!!
 
nyie jamaa munavitoka sana, hiyo imani ya jeshi ilanzia kwa misingi ipi?
 
Hivi nyinyi mliwahi kumpenda nani katika awamu zote?..chuki zinakula ubongo na moyo wako na kukaribisha mental health problems..ila upendo unakaribisha amani na afya ya akili na moyo pia ..kazi ni kwako kichagua
Mm ni jeuri kweli kweli ila kwa JPM nilinyosha mkono nilienda kukaa zaidi ya masaa mawili juani kwenye foleni kupiga kula... sababu moja tu alikua mskivu na alikua mzalendo wananchi wakilia jambo anakua upande wao chap.na amini leo haya mauaji yasingetokea km yy angekua kwenye kiti.
 
Hivi kuna swali najiuliza ama nimeshindwa kulielewa kidogo
  • waziri mkuu kamaliza muda kaachia ngazi kapita hivi
  • makamu kaona alichoitiwa kimeisha kapita hivi
  • spika nae kachochorea kule
  • na wengine walio liona hilo wamekaa kule
Sasa? Huyu mkulu kachukua 5yrz
Hawa waajiriwa wapya nao wana time interval hiyohiyo ya 5yrz au watafuata protocal ya 10yrz?!?
Anae elewa vizuri haya mambo anifahamishe nina kama wiki nawaza sipati jibu, nina kikichwa kidogo sana kwenye mambo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…