Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Una uhakika babu hujapita na wajukuu zako kweli wewe?🤣

Basi wana shobo so kitoto!
Ni kweli sijapita na yeyote humu

Unajua sisi wazee wa mwaka 47, labda kutokana na upweke wa Uzee hupendelea kufanya utani na Wajukuu

Lakini hakuna niliyepita naye, zaidi ya utani wa babu na Wajukuu 🤗
 
Ni kweli sijapita na yeyote humu

Unajua sisi wazee wa mwaka 47, labda kutokana na upweke wa Uzee hupendelea kufanya utani na Wajukuu

Lakini hakuna niliyepita naye, zaidi ya utani wa babu na Wajukuu 🤗
Mbinu kuu ni kukana! Hata mfumwe uchi,

Peleka mjukuu mmoja vacay tupunguziwe makelele babu🤭
 
Pesa ni muhimu lakini sio kila kitu katika maisha ya mwanadamu. Please Learn the difference.
Mkuu unajua ni ngumu sana kumuaminisha huu msemo mtu ambaye hana hela,
Masikini ndio huamini kua hela ndio kila kitu,

Hata hao wasio kua na hela,siku wakipata hela na wakazizowea,ndipo muda watakaogundua kua hela sio kila kitu,kuna vitu vya ziada behind money.

MONEY IS NOT EVERYTHING
 
Hiyo username inaakisi unachokinena hapa, PESA inacover 99% kwa mwanadamu, hiyo 1% ni uhai (kifo) + ugonjwa ambao hautibiki... Hivyo viwili tu ndo PESA haina kazi!

Tafuta hela!💃💃💃💃💃
Kwani nimesema kuwa pesa sio muhimu??
 
Mkuu mimi ni mbeba box huku,kitambo tu.
Hongera sana Mkuu, maisha ya ughaibuni huwa ni ya upweke sana

Mimi yalinisukuma kipindi fulani kuwa mtumiaji wa JF ili kuondokana na hiyo hali

Kwasasa tunabadiri viwanja tu na Wazee wenzangu, ukisikia Buguruni kuna bingwa wa bao, tunakwenda kucheza naye

Ukisikia hapo Ilala kuna bingwa, tunakwenda

Karibu nyumbani utakaporudi Nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…