Kuweni na huruma na Wazee π€Wakuue tu kwakweli.
Alijipakulia minyama tuπ€£Kuna uzi fulani alisema ni 45
Sitaki mbege, lete fanta machungwa.Kuweni na huruma na Wazee π€
Nina mbege hapa nakunywa, vipi nikuletee maeneo? π€ͺ
Usifanye hivyo mjukuu, Wakala anakuwekea chapuFanya haraka, lasivyo naharibu hali ya hewaπ€£π€£π€£
Kweli you don't want peace jirani π€Alijipakulia minyama tuπ€£
Presha ikumalize tu.Usifanye hivyo mjukuu, Wakala anakuwekea chapu
Hata hivyo si unajua nina Presha π
Hayazungumziki jiraniπ€£Kweli you don't want peace jirani π€
Haya mambo yanazungumzika
Wacha nitafute Mwanasheria, nianze kuandaa wosia tuPresha ikumalize tu.
Wosia wa nini kusumbua watu tu!! Wewe RIP baasi.Wacha nitafute Mwanasheria, nianze kuandaa wosia tu
Naona Maji yameshakorogeka π
Hahaha.........nakutumia ile hela unyamaze jirani, mwenzio nitaachwa na bibi yenu alafu baridi liniue π€ͺHayazungumziki jiraniπ€£
Kweli Mimi wakupewa gudubai π₯²Wosia wa nini kusumbua watu tu!! Wewe RIP baasi.
Fanya haraka jirani.Hahaha.........nakutumia ile hela unyamaze jirani, mwenzio nitaachwa na bibi yenu alafu baridi liniue π€ͺ
Si namba Ile Ile ndiyo inapokea eehFanya haraka jirani.
Ila hata kama sio babu ila anajua kujivika uhusika wa ubabu,kongole kwakeHakuna Babu hapo,huyo ni kijana wa miaka 45 tu,
Au itakua kujifanya Babu ni aina mpya ya ndoano ya kuwavua Samaki kirahisi zaidi.
ππ
Eeeh! Hiyo hiyo jirani.Si namba Ile Ile ndiyo inapokea eeh
Sasa jitahidi kunitunzia Siri wakati Wakala akiendelea kurekebisha mitambo π€ππEeeh! Hiyo hiyo jirani.
Hii ya kujiita babu babu niliizoea kuisikia kwa Aspirin.Kama nakuona vile ulivyojitahidi kumezea π
Wajukuu wataniua babu yao π
Umenikumbusha huyo Mzee, Mtaalamu wa kuwafanyia ukaguzi wajukuu πHii ya kujiita babu babu niliizoea kuisikia kwa Aspirin.
Mkuu una undugu na babu aspirin?
Wewe sikufahamu ila yeye nipo naye group moja la watsap.Umenikumbusha huyo Mzee, Mtaalamu wa kuwafanyia ukaguzi wajukuu π
Sina undugu naye huyo Mzee, huenda ni rika langu tu