Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Changamoto kubwa ninayoiona binafsi siyo kuunganisha mitaji."Tunaungana kufanya nini? " This is Critical question we need to have its answer before we do anything!

Tukisoma maelezo yanaeleweka kiurahisi shida itakuja kwenye operation mtu kuweka pesa yake afu angojee 30% ya faida yake siyo kesi. Huu ni sawa na mfumo wa HISA tuwe makini je, tunawekeza wapi na nani watasimamia hii business? Na je, tunaelewa mfumo wa uendeshaji wa pesa na sheria zake. Isije kuishia kuwa DESI.
 
Hii nimeipenda sana, Nina mpango wa kuanza hii biashara hapa Morogoro.
Vp mkuu ulishaanza
 
Sasa mbona kuna dume limeingilia kwenye wazo la huyu binti? Tumjibu nani hapo?
 
Mi naona kama upo dar (namzungumzia huyo Dada wa miaka 24) kutembeza/kuuza shanga na hereni kwa akina mama. Inalipa sana. Dadangu aliwahi kuifanya na ikampa pesa za kunisomesha kidato cha 5&6 private school. Ukiwa na aibu hutaifanya
 
Ndio maana nataka kujua ni biashara zipi zinazowezekana kwa hio hela ili nichague
Kuuza karanga, kuuza maji barabarani, kuuza vocha stendi ya mabasi, kufungua genge la vitu mvhanganyiko stendi, biashara za mtaji huo ni nyingi sana, suala ni wewe tu kuamua na kusnzs
 
nitafanyia kazi wazo lako
na vipi bei naweza nikapata kwa sh ngapi
Hili swali limetia najisi kabisa hata biashara unayotaka kufanya. Kilichotakiwa ni ww kuuliza maeneo ya kufungia mzigo sio bei. Bei ni ww kufanya survey na kuomba punguzo.
 
Mkuu, kwasasa umejiajiri au umeajiriwa??
 
Nahitaji icho kitabu 0718459870
 
Habari za humu
Naomba msaada wa mawazo nipo kijijin na nataka nianze biashara na nina mtaji wa laki tano je naweza kufanya biashara gan????? MAJIBU PLIZ
 
mi pia nimejifunza kitu asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…