mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Wazo zuri sana!jaribu mama ntilie
ikikua fanya ki restaurant kidogo hivi
utashangaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri sana!jaribu mama ntilie
ikikua fanya ki restaurant kidogo hivi
utashangaa
hivi hiyo biashara hua inahitaji vibali vipi kutoka serikalini?TRA,halmashauri au mtaa?na kama ni frame umechukua ushuru inakuaje?unafahamu lolote hapo mkuu?Habar zenu Wakuu...
Nilikuwa nahitaji business partner biashara ya Genge (Fruits & Vegetables).Itakuwa na home delivery pia
Makazi yawe Dar es Salaam na biashara itakuwa Dar pia preferably Tegeta,Boko, Kawe au Bunju.
Alie tayar kuanzisha kitu from scratch na kukiona kikikuwa akiwa part ya operations.
Please uwe determined na sio sababu upo desperate na ajira..
Alie serious please ni pm mengine tutazungumza..
Hapana Mkuu watu wanafanya tuu..hivi hiyo biashara hua inahitaji vibali vipi kutoka serikalini?TRA,halmashauri au mtaa?na kama ni frame umechukua ushuru inakuaje?unafahamu lolote hapo mkuu?
Ni pmMie ni mwanafunzi but niliomba msaada kuhusu kusaidiwa nianzishe biashara ipi kwa mtaji Wa laki moja kwakua naitaji kufanya biashara huku bado naendelea na masomo naombeni mnipe ujuzi jamani
Brow mi nna mtaji wa laki Tisa ambao umeanguka kutona million 3 naomba ushauri kabla sijaiiua hii laki 9 nifanye biashara gani ili niiuinue mtaji wangukaka naomba mawasiliano yako, uko wapi/
Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 5 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza .Wazoefu wa biashara naombeni mawazo yenu naamin wote humu ni magrt thnker's ..Ahsante
darUko mkoa gan
Watu wanapenda kunywa juisi za matunda ,na matunda kawaida lakn tatizo ni ugumu flan wa kwenda sokoni kununua matunda na kutengeneza wenyewe,ukifanya kuwasaidia na kuwapelekea walipo itasaidia sana.Habari zenu wapendwa. Naitwa paresh napatikana dodoma naomben msaada wa mawazo kwa mtaji wa Tsh. laki tano niufanyie biashara gani ili niweze kujipatia faida itakayonisaidia kuingia japo amount ndogo ya kujikim na mahitaj ya nyumban
Ongeze na ruti ya chato pia MkuuNitanunua Ndege nianzishe ruti ya Dar-Mtwara.
kwa huku mpunguzi nakodi shamba 50,000 nanunua mbegu ya matikiti 120,000 mbolea 50,000 inayobaki ni kwaajili ya madawa. Halafu shambani naingia mwenyewe