Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Na mungu akampenda sana akamtwaa akiwa Kijana bado,mshahara Wa dhambi ni mauti.
kama alikua na sera mzuri alifutaje uchaguzi serikali za mitaa 2019?sijui una umri gani kiongozi,ila wewe ni kati ya watu wazima wajinga sana.
nyinyi wazembe wachache ndio matokeo ya tz hii ilipo zaidi ya miaka 50 ya uhuru.
Jamaa angekuwa Poa sana.. alikuwa na Vision.. na Pia Samia can never make a legacy kama ya JPM.. samia atabaki kuhang in the Middle.. Meko alifanikiwa kuwa na Kundi lililomuamini sana.. kutokana na aina ya Vision yake na siasa zake.. samia hawezi icho kitu..Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.
Visio alikuwa nayo nzuri. Baadae ikaja kuchanganywa na mambo ya hovyo. Akataka kuua demokrasia, akaua uhuru. Akataka kuongoza milele.Jamaa angekuwa Poa sana.. alikuwa na Vision.. na Pia Samia can never make a legacy kama ya JPM.. samia atabaki kuhang in the Middle.. Meko alifanikiwa kuwa na Kundi lililomuamini sana.. kutokana na aina ya Vision yake na siasa zake.. samia hawezi icho kitu..
Mungu ni mkali aisee aendelee kuwepo tu
nchi yetu iliharibika sana hakuna sheria AKA banana republic. Jamaa yenu alikuwa mwizi wa kutupwa, mkabila, nepotism.the guy was completely useless .thanks god for Divine intervation he is gone for good ,enzo za kulamba makalio zimeisha.jipange upyasijui una umri gani kiongozi,ila wewe ni kati ya watu wazima wajinga sana.
nyinyi wazembe wachache ndio matokeo ya tz hii ilipo zaidi ya miaka 50 ya uhuru.
Swala la Kuongoza Milele tusimhukumu kwa sababu hatukuona mwishowe.. ila kwa kinachoendelea state House Chamwino hilo lingewezekana.Visio alikuwa nayo nzuri. Baadae ikaja kuchanganywa na mambo ya hovyo. Akataka kuua demokrasia, akaua uhuru. Akataka kuongoza milele.
KalifufueniWachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Tutaachaje kumhukum wakati nia na njia zilikuwa zinaonesha? Kuna viashiria mbali mbali vya mwenendo wa siasa zakw zilionesha hilo. Na hakuwahi kulikana licha ya kuwa linapigiwa chapuo na Bunge lenye mamlaka ya kulinda na kuheshimy katiba. Alivimba bichwa.Swala la Kuongoza Milele tusimhukumu kwa sababu hatukuona mwishowe.. ila kwa kinachoendelea state House Chamwino hilo lingewezekana.
Alikuwa zaidi ya shetaniUdhalimu wake ni namna mnavyohisi kuhusika katika tukio la Lissu, Saanane na mnaodai walipotea? Au mnamhusisha na masuala gani ambayo unaweza kuyatolea ushahidi?
Ni adhabu kali hasa kwa mtu mwovu.Mnaoamini kifo ni adhabu nawashangaa kidogo.... [emoji16][emoji16]
Hakua na hisia yoyote kwamba kuna wanadamu wengine wanaumizwa na matendo yake.Alikuwa zaidi ya shetani
Imetosha kaka. ..Kuwachukia makabila ya kaskazini.
. ...Kukusanya kodi haramu kaskazini nakupeleka maendeleo chato wakati hakuna kodi inayokusanywa huko.
. ...Kuamuru critics wauawe.
. ....Kuwachukia wenye pesa hata Kama wamepata kihalali.
. ...Kuamini kwamba ninadamu wote wanatakiwa kuwa sawa kiuchumi wakati wamumbwa kwa uwezo tofauti wa kufikiri, bidii ya kazi, vipaumbele katika matumizi ya pesa wanazopata wakati wapo wanaospend vipato vyao na wengine wana invest nakuweka akiba ya baadaye.
. ...Kutokuwaamini watumishi wote wa serikali kwa Ku weka TISS kila sehemu ya kazi hata kama hawana uelewa wa kazi zinazofanyika sehemu husika.
. ...Kuvunja kifungu cha katiba kinachompa kila RAIA uhuru wa kwenda kokote anakotaka lli mradi havunji sheria. Hakuna kusafiri nje ya nchi bila kibali chake.
. ....Na mengine meeengi orodha ni ndefu.
Na true alikuwa mwizi sugu 1.5 trillion ziko wapi .kamfukuza CAG kids kaongea ukweli .neko alikuwa jambazi suguMuda utasema tu kiongozi tatizo la watanzania wengi hawana uzalendo na wanapenda kuishi kiujanja ujanja na kifisadi bila kufanya kazi.
Huijui China, na wala hujui ni nini kilichoibadilisha China.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Marehemu alichofanikiwa ni propaganda za hadaa kwa wajinga. Na aliwaokota wengi.Well said kijana, naionea huruma Tz yangu tulikuwa tumeanza kupaa Sasa tumerudi tena ground
Pointless.Kabla huyu mwamba wenu hajaingia madarakani nilikuwa nikienda kumsalimia bibi kule nyanungu kwa kupita mbugani basi ilikuwa nalipa 30000 mpaka Tarime.
Alipoingia tu mwamba garama ikapanda ikafika 50000 eti wanaopita huko wote walipishwe kama watalii Wa ndani.
,utadhani anawakatia majani hao wanyama.kwa hili Mimi nkageuka kuwa adui wake.
Historia ya China unaijua? Mao Zhedong unajua alifanya nini China?Unawalinganisha wachina kwa mfano usiolingana na walchofanya wenyewe.
Hapa ilikuwa ni mabavu ya mtu mmoja, aliyeteka kila kitu kifanywe anavyotaka yeye hata kama ni makosa.
Kule ni chama kilichoshika hatamu na kuongoza walikotaka kwenda.
Hivi wewe hata siku moja hukui ukabadilika kidogo?Historia ya China unaijua? Mao Zhedong unajua alifanya nini China?