Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #101
Kama mabandiko ni ya kipuuzi mbona umewashwa kuchangia? Unajifanya mjuaji. Nimekuuliza unajua Mao Zhedong aliifanyia nini China kama kiongozi aliyekuwa ana ushawishi binafsi unabaki unaharisha.Hivi wewe hata siku moja hukui ukabadilika kidogo?
Sasa unaniuliza swali la kipuuzi namna hiyo, unataka nikwambie kitu gani. Unataka unifundishe nikikwambia kuwa sijui?
Kama naijua historia hiyo, unataka niiandike yote humu JF?
Una mambo ya kitoto sana wewe.
Mabandiko yako yote ni ya kipuuzi puuzi tu!
Tumia ukumbi huu ukusaidie kupanua mawazo na ujadiliane na wengine kwa utulivu.
Nimekwishakueleza, na umeelewa. Hilo ndilo muhimu.Kama mabandiko ni ya kipuuzi mbona umewashwa makalio kuchangia? Huna akili zaidi ya kujifanya mjuaji. Nimekuuliza unajua Mao Zhedong aliifanyia nini China kama kiongozi aliyekuwa ana ushawishi binafsi unabaki unaharisha.
Jk alikuwa hakusanyi Kodi kutoka kwa hao wawekezaji ndiomaana waliitana wengi kuja kuwekeza maana walikuwa wakipiga hela bila kusumbuliwa, JPM aliamua tu kufuata sheria kuhakikisha wanalipa Kodi stahiki ndio maana wawekezaji uchwara walianza kukimbiaMarehemu alichofanikiwa ni propaganda za hadaa kwa wajinga. Na aliwaokota wengi.
Utawala wa awamu ya 5, kwa vigezo vyote vya maendeleo, alifeli kabisa.
Ukuaji wa uwekezaji aliuangusha toka 28% mpaka 4%, wajinga hawajui.
Ukuaji wa mapato ya utalii, aliyaangusha kutoka 15% mpaka 3.6%, wajinga hawajui.
Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo aliyaangusha kwa 50%, wajinga hawajui.
Kwenye uzalishaji dhahabu, aliiangusha Tanzania toka kuwa mzalishaji wa 3/4 (kuna wakati tulikuwa tunakuwa wa 3, na wakati
mwingine wa 4) barani Afrika mpaka kuwa mzalishaji wa 6.
Aliyaharibu mazingira ya uwekezaji katika sekta ya madini, toka nchi ya 74 bora mpaka kuwa nchi ya mwisho.
Sasa hao wazembe wachache madhara yao yanafunika vipi jitihada za wachapakazi wengi?sijui una umri gani kiongozi,ila wewe ni kati ya watu wazima wajinga sana.
nyinyi wazembe wachache ndio matokeo ya tz hii ilipo zaidi ya miaka 50 ya uhuru.
Kwa mara ya kwanza nakupongezaKwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.
Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.
Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.
Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi
Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hwajafanya kazi.
Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.
Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Pole kifo cha mama mdogo wakoWachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
We kaa kimya.Kwa mara ya kwanza nakupongeza
Shida wengi wenu mnadhani kuwa masikini ndio uzalendo mmekaririshwa ujinga na nyie bila kujielewa mnadhani ni sifa. Aliyejifanya mtetezi na myonge mwenzenu kumbe yeye anapiga za kutosha halafu anawadanganya nyie mazumbukuku kuwa ni masikini mwenzenuMuda utasema tu kiongozi tatizo la watanzania wengi hawana uzalendo na wanapenda kuishi kiujanja ujanja na kifisadi bila kufanya kazi.
Wakati wa mapinduzi ya Kijani,China ilitumia jeshi kuhakikisha wananchi wanafanya kazi.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Orodha ni ndefu sana ya mambo ya namna hiiHawa watakataa unayoyasema.
1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
Ondoa tu alama za kuuliza katika bandiko hiliUdhalimu wake ni namna mnavyohisi kuhusika katika tukio la Lissu, Saanane na mnaodai walipotea? Au mnamhusisha na masuala gani ambayo unaweza kuyatolea ushahidi?
Wewe usiwafanye watu wajinga Chama cha wafanyakazi kinauhusiano gani na siasa acha uujinga peleka huko kwa wenzio hukumu ndani sio size yako, unatengeneza maneno huenda hata elimu huna nenda kalime na upambane na maisha yako.Unasema huvyo kwa sababu hukuwahi kuguswa wakati wa utawala wa yule shetani. Mimi ni mhanga niligombea nafasi Fulani ndani ya chama Fulani tena ni chama cha wafanyakazi tu. Kilichotokea ni maajabu. Kwa kuwa walihisi nipo upande wa pili, nilitekwa nikalazimishwa kujiunga na upande wa kijani. Niliyoyaona huko sithubutu hata kumuomba dua yule kayafa. Mungu amlaze mahali panapostahili.
Zamani vilikuwa ni matawi ya CCM, sasa mwendazake alikuwa anataka kuturudisha huko, si unaona bunge limekuwa la chama kimoja kama zamani, hakuna cha ajabu hapo.Wewe usiwafanye watu wajinga Chama cha wafanyakazi kinauhusiano gani na siasa acha uujinga peleka huko kwa wenzio hukumu ndani sio size yako, unatengeneza maneno huenda hata elimu huna nenda kalime na upambane na maisha yako.
Hatuwezi kurudi kule kwenye enzi za ujima eti kisa ndivyo wachina walivyoendelea.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Eti wachina 🤣🤣🤣🤣Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Fuatilia mambo mkuuUchaguzi wa chama cha wafanyakazi unahusiana vp na kua chama cha kijani?
Ficha chuki za kijinga, hakuwa rafiki yako wewe na Mzee wa MIGA labda.Motion ya huyo hayati wenu haikua na uelekeo wa kutupeleka uchina,ngoma ilikuwa inaelekea ZIMBABWE acheni kufananisha uharo na futari.
NIPO WAZI KABISA SIKUMPENDA JAMAA YENU HAKUWA KIONGOZI RAFIKI WA WATANZANIA.
Hakuheshimu katibaKwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.
Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.
Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.
Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi
Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.
Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.
Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Alisha waambiwa hajaenda ikulu kutafuta mchumba yeye ni kazitu lakini bado hawaelewi.Hata yeye hakutaka umpende...
Tuliomwelewa tulimpenda....
RIP mwamba