Sasa hivi mambo ni super! Ccm mbele kwa mbeleMungu ameamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, baada ya miaka mitano nchi yetu kuwa mikononi mwa shetani. Hakuwa na lolote jipya zaidi ya kiburi cha madaraka fullstop.
kwanini umekimbilia kudhani najiona nina akili myingi!!!!Tatizo unadhani una akili nyingi kumbe ni za kawaida mno. Unashabikia uuaji wa marehemu Magufuli????!
Vipi tena?T
Diplomasia gani ya kiuchumi, unaongelea makinikia ama bandari ya bagamoyo.
Tatizo lako wewe nikama teja mlaunga DJ ukishakuita kamanda unajiona tayari unaakili kuiliko watuwote.
Mbona watakatifu na watoto wachanga wanakufa pia?
Nao ni adhabu yann mkuu?
Dhalimu kwako wewe mvivu na mpenda kuishi
maisha yasiyoeleweka.
Sasa hivi mambo ni super! Ccm mbele kwa mbele
Si umesema tz ilikuwa chini ya utawala wa shetani na huyo shetani Mungu kamuondoa? Kwamba amefanya mabadariko bila kumwaga damu?Ccm mbele kwa mbele, au vyombo vya dola ndio mbele kwa mbele?
Umesahau stahiki za wafanya kaziHawa watakataa unayoyasema.
1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
Unaweza sema bora hata Zimbabwe ilikuwa ni hasara tupu kwa taifa letuMotion ya huyo hayati wenu haikua na uelekeo wa kutupeleka uchina,ngoma ilikuwa inaelekea ZIMBABWE acheni kufananisha uharo na futari.
NIPO WAZI KABISA SIKUMPENDA JAMAA YENU HAKUWA KIONGOZI RAFIKI WA WATANZANIA.
mabadiriko = mabadilikoSi umesema tz ilikuwa chini ya utawala wa shetani na huyo shetani Mungu kamuondoa? Kwamba amefanya mabadariko bila kumwaga damu?
Sasa kwanini ccm isiwe mbele kwa mbele wakati tayari mabadariko yamefanyika na shetani katoweka?
Lakini si umeelewa nilicho mananisha?mabadiriko = mabadiliko
Ni vitu viwili tofauti kabisaLakini si umeelewa nilicho mananisha?
Kwakuwa sijui definition ya 'Middle' basi wacha niendelee kuongeza na mihogo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi bishana kipumbavu kama unavyodhania,in fact uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo kuliko unavyodhani,unalobishania hulijui,unachojibu hujui pia.
Mwaka jana World Bank ili classify world's economies katika categories zifuatazo;
1:High Income Economies - Eg USA,CANADA, GERMANY..
2: Upper Middle Income Countries - Argentina, Georgia, Malaysia,China, Brazil, Turkey ...
3: LOWER Middle Income Economies - Comoro, Zimbabwe, Senegal,Tanzania, Djibouti Eswatini etc[emoji1][emoji1][emoji1]
4:Low income Economies - Burundi,Niger, Yemen, Somalia etc
Huo ndio uchumi wa kati sio?kula viazi tu na uji huko uliko[emoji1787]
Tanzania nchi ya kufikiria sanaaa..... Kila kitu kina sababu yake...sababu inayokidhi fikra za mtu fulaniHuyu CAG kwa taarifa yako ametumika tu kuja kuchafua hali ya hewa.
Si umesema tz ilikuwa chini ya utawala wa shetani na huyo shetani Mungu kamuondoa? Kwamba amefanya mabadariko bila kumwaga damu?
Sasa kwanini ccm isiwe mbele kwa mbele wakati tayari mabadariko yamefanyika na shetani katoweka?
Aisee.. Basi endelea kuimba mkuu, ccm mbele kwa mbele wakati tukisubiri Mungu awaondoe hao mawakala wa huyo ibilisi na huku tukisema Samia 10 tenaShetani ni kweli kaondoka ila kaacha mawakala wake huko bungeni na kwenye mifumo mbalimbali. Itachukua muda kidogo kumaliza madhara yote yaliyoletwa na yule ibilisi.
Aisee.. Basi endelea kuimba mkuu, ccm mbele kwa mbele wakati tukisubiri Mungu awaondoe hao mawakala wa huyo ibilisi na huku tukisema Samia 10 tena
Kabisa mkuu!Msiseme Samia 10 tu, semeni 100 kabisa. Tunachojua shetani Mkuu yuko motoni saa hii. Mengine yote ni mchakato na lazima mlambe mchanga tu.
Ila alienda kuwapa wachumba zawadi.Alisha waambiwa hajaenda ikulu kutafuta mchumba yeye ni kazitu lakini bado hawaelewi.