Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Mkuu una uhakikaa😳😳😳!?
Kaeni kwenu mtulie wengi washamba hamna uwezo ,ushahidi upi unaongelea hizo elimu za kukariri 😅Au unataka ushahidi mpaka katika hilo mkuu!?
We mdigo unamshinda wapi msukuma kwa usomi!?
Wasomi wapi? Acha uongo mshamba wewe unajidanganya ,sisi tunawaona washamba kabisa wala hatuna shobo na nyie .Au unataka ushahidi mpaka katika hilo mkuu!?
We mdigo unamshinda wapi msukuma kwa usomi!?
Kwani hii Pwani kaijenga nani?Wasomi wapi? Acha uongo mshamba wewe unajidanganya ,sisi tunawaona washamba kabisa wala hatuna shobo na nyie .
Wakati wa uhuru mlikuwa wapi? Hamna wasomi huko maana hata usafi matatizo.
Pwani kaijenga nani mzee!?Kaeni kwenu mtulie wengi washamba hamna uwezo ,ushahidi upi unaongelea hizo elimu za kukariri 😅
Nchi imeshikwa na watu wa pwani ndio wanaongoza ,yaani watu wa bara ushamb hata vyoo kwenu matatizo ...Uwezo mdogo kama sio kufika pwani mngeendelea kunya vichakani.
Aisee unajidanganya sana.100%
😅😅😅😅Mjinga wewe ,wao ndio wamelta bandari muache kujenga kwenu mjenge huku 😅😅.Kwani hii Pwani kaijenga nani?
Pwani kuanzia hii Dar es salaam wameijenga watu wa bara na Kaskazini.
Julius Kambarage Nyerere alikua mpwani au mtu wa kanda ya ziwa!?
Edward Moringe Sokoine ni wa wapi?
Shule kongwe ya kwanza ipo wapi?Aisee unajidanganya sana.
Hata kihistoria ni wapi kulianza kupata uamko wa mashule na mashule makongwe yalijengwa wapi kama sio kaskazini,kanda ya kati na kanda ya ziwa!?
Pwani mshukuru Dar es salaam tu kwasababu ni financial capital ila si vinginevyo.
Tanga hapo kuna wanafunzi wakimbia shule kibao wakike kwa wakiume.
Hata madaktari hamuna mwaenda tibiwa KCMC kwa huduma za uhakika.
Kwani mie siwajui ninyi!?
Hakuna mbara kajenga pwani maana matajiri wengi ni watu wa Asia sio wachuuzi waizi wa viwanja na matapeli, kiufupi biashara zenu hazina impact.Pwani kaijenga nani mzee!?
Shida ni waoga kushika pesa ndefu wamekalili kwamba lak1 ndo pesa ndefu ukiwambia kuhusu 100million watakwambia mpaka ushirikina awaamini kama kuna mamilion kwenye kazi ukiachana na ushirikina,UMASIKINI wa mikoa hii umesababishwa na serikali. Mbolea tu Kule inafika kwa bei kubwa, matrekta ya kilimo yamewekwa DSM na DOM,kama maonesho tu.
Even dodoma wagogo, japokuwa wamebadilima kidogo lakin hao jamaa nao kwa uvivu na hawana long terms plansNimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Sasa vikindu si ni mchanga mtupu paleMzee unajua hata vikindu na Kisemvule ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga!?
Kuja mpaka huku mlamleni embu nenda uone kama hakuna ardhi ya kulima kule.
Naanza kukuona umeshiba biryani unaropoka brazaHakuna mbara kajenga pwani maana matajiri wengi ni watu wa Asia sio wachuuzi waizi wa viwanja na matapeli, kiufupi biashara zenu hazina impact.
Mbona hamjengi kwenu ?😅😅😁 Uhuru wametafuta watu wa pwani nyie mlikuwa hamjitambui mpake leo wachafu mnanuka .
Tazama puuzi hili hapa,kwa hiyo Tanga ya Leo ndiyo ile ya mjerumani!?Tanga ilijengwa na wajerumani kabla ya ujinga wa matambiko
Umeitembea vikindu mzee yote!?Sasa vikindu si ni mchanga mtupu pale
Vikindu mchanga kuanzia hapo stand,vianzi,changanyikeni,marogolo,tundwi songani nk,udongo mzuri uko bondeni mtoni,upande wa magharibi vikindu nako mchanga tupuUmeitembea vikindu mzee yote!?
Acha utani braza hujatembea wewe.
Kuna vikindu moja kuna njia ukiunga nayo unatoka Mwasonga huku Kigamboni.
Kapatizame
Huwenda hata nilichozungumza hujanielewa.Shule kongwe ya kwanza ipo wapi?
Watu wa kwanza kusoma wakina nan ,kamuulize babu yako walimu wa kwanza kuwafundisha kiswahili wanatokea wapi?
Mpaka leo hamjui hata kiswahili ,kuoga na mambo ya kijamii zero.
Pwani hamna washamba .
😁😁😁Jamaa vip wwe, hizo biashara unalazimisha na mmekuja kutafta riziki na umaskini wenu..Naanza kukuona umeshiba biryani unaropoka braza
Pia huwenda hujui mgawanyo wa kiuchumi mzee.
Wa Asia unaowazungumzia wewe wamejikita katika biashara za viwanda vya vyakula,biashara za kati kama uuzaji spea n.k n.k.
Mashule mengi ya wabara hapa Dar na Pwani,Vyuo kama Padre pio,St.David,Tumaini,Kairuki,Kam,Kiccohas n.k n.k ni vya wabara mzee.
Hospitali na vituo vingi vya afya kama vile Kairuki hospital n.k n.k ni vya wabara.
Viwanda vya madawa kama Kairuki pharmaceuticals ni vya wabara.
Nenda Mbezi makabe,Kimara,Mbezi beach,Mbweni,Ununio,Kinondoni ,Sinza jiulize kule utakuta kina nani wamejazana kama sio kanda ya ziwa na Kaskazini.
Madaktari wengi bingwa ni wa wapi!?
Punguza shibe ya biryani