Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Nna mchongo wangu hapo namajani,watu ilibidi niwatoe chunya na usukumani huko

Ova
 
Au unataka ushahidi mpaka katika hilo mkuu!?
We mdigo unamshinda wapi msukuma kwa usomi!?
Kaeni kwenu mtulie wengi washamba hamna uwezo ,ushahidi upi unaongelea hizo elimu za kukariri 😅

Nchi imeshikwa na watu wa pwani ndio wanaongoza ,yaani watu wa bara ushamb hata vyoo kwenu matatizo ...Uwezo mdogo kama sio kufika pwani mngeendelea kunya vichakani.
 
Au unataka ushahidi mpaka katika hilo mkuu!?
We mdigo unamshinda wapi msukuma kwa usomi!?
Wasomi wapi? Acha uongo mshamba wewe unajidanganya ,sisi tunawaona washamba kabisa wala hatuna shobo na nyie .

Wakati wa uhuru mlikuwa wapi? Hamna wasomi huko maana hata usafi matatizo.
 
Wasomi wapi? Acha uongo mshamba wewe unajidanganya ,sisi tunawaona washamba kabisa wala hatuna shobo na nyie .

Wakati wa uhuru mlikuwa wapi? Hamna wasomi huko maana hata usafi matatizo.
Kwani hii Pwani kaijenga nani?
Pwani kuanzia hii Dar es salaam wameijenga watu wa bara na Kaskazini.
Julius Kambarage Nyerere alikua mpwani au mtu wa kanda ya ziwa!?
Edward Moringe Sokoine ni wa wapi?
 
Kaeni kwenu mtulie wengi washamba hamna uwezo ,ushahidi upi unaongelea hizo elimu za kukariri 😅

Nchi imeshikwa na watu wa pwani ndio wanaongoza ,yaani watu wa bara ushamb hata vyoo kwenu matatizo ...Uwezo mdogo kama sio kufika pwani mngeendelea kunya vichakani.
Pwani kaijenga nani mzee!?
 
Aisee unajidanganya sana.
Hata kihistoria ni wapi kulianza kupata uamko wa mashule na mashule makongwe yalijengwa wapi kama sio kaskazini,kanda ya kati na kanda ya ziwa!?
Pwani mshukuru Dar es salaam tu kwasababu ni financial capital ila si vinginevyo.
Tanga hapo kuna wanafunzi wakimbia shule kibao wakike kwa wakiume.
Hata madaktari hamuna mwaenda tibiwa KCMC kwa huduma za uhakika.
Kwani mie siwajui ninyi!?
 
Kwani hii Pwani kaijenga nani?
Pwani kuanzia hii Dar es salaam wameijenga watu wa bara na Kaskazini.
Julius Kambarage Nyerere alikua mpwani au mtu wa kanda ya ziwa!?
Edward Moringe Sokoine ni wa wapi?
😅😅😅😅Mjinga wewe ,wao ndio wamelta bandari muache kujenga kwenu mjenge huku 😅😅.

Mawazo ya kijinga huko kwenu maendeleo zero mnapiga kelele... Julius Nyerere amesaidiwa na watu wa pwani kutafuta uhuru ,mda huo nyie hata kupiga mswaki hamjui ,baadae akaona watakuwa juu yake akaanza kuwafunga.

Pwani nyie mmeleta utapeli ,umalaya na wizi..Ndio mlianza kushiriki mashindano ya kukaa uchi kwa ujinga wenu.
 
Aisee unajidanganya sana.
Hata kihistoria ni wapi kulianza kupata uamko wa mashule na mashule makongwe yalijengwa wapi kama sio kaskazini,kanda ya kati na kanda ya ziwa!?
Pwani mshukuru Dar es salaam tu kwasababu ni financial capital ila si vinginevyo.
Tanga hapo kuna wanafunzi wakimbia shule kibao wakike kwa wakiume.
Hata madaktari hamuna mwaenda tibiwa KCMC kwa huduma za uhakika.
Kwani mie siwajui ninyi!?
Shule kongwe ya kwanza ipo wapi?

Watu wa kwanza kusoma wakina nan ,kamuulize babu yako walimu wa kwanza kuwafundisha kiswahili wanatokea wapi?

Mpaka leo hamjui hata kiswahili ,kuoga na mambo ya kijamii zero.

Pwani hamna washamba .
 
Pwani kaijenga nani mzee!?
Hakuna mbara kajenga pwani maana matajiri wengi ni watu wa Asia sio wachuuzi waizi wa viwanja na matapeli, kiufupi biashara zenu hazina impact.

Mbona hamjengi kwenu ?😅😅😁 Uhuru wametafuta watu wa pwani nyie mlikuwa hamjitambui mpake leo wachafu mnanuka .
 
UMASIKINI wa mikoa hii umesababishwa na serikali. Mbolea tu Kule inafika kwa bei kubwa, matrekta ya kilimo yamewekwa DSM na DOM,kama maonesho tu.
Shida ni waoga kushika pesa ndefu wamekalili kwamba lak1 ndo pesa ndefu ukiwambia kuhusu 100million watakwambia mpaka ushirikina awaamini kama kuna mamilion kwenye kazi ukiachana na ushirikina,
Mikoa ya kusini oyeeeeee.[emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Even dodoma wagogo, japokuwa wamebadilima kidogo lakin hao jamaa nao kwa uvivu na hawana long terms plans
 
Hakuna mbara kajenga pwani maana matajiri wengi ni watu wa Asia sio wachuuzi waizi wa viwanja na matapeli, kiufupi biashara zenu hazina impact.

Mbona hamjengi kwenu ?😅😅😁 Uhuru wametafuta watu wa pwani nyie mlikuwa hamjitambui mpake leo wachafu mnanuka .
Naanza kukuona umeshiba biryani unaropoka braza
Pia huwenda hujui mgawanyo wa kiuchumi mzee.
Wa Asia unaowazungumzia wewe wamejikita katika biashara za viwanda vya vyakula,biashara za kati kama uuzaji spea n.k n.k.
Mashule mengi ya wabara hapa Dar na Pwani,Vyuo kama Padre pio,St.David,Tumaini,Kairuki,Kam,Kiccohas n.k n.k ni vya wabara mzee.
Hospitali na vituo vingi vya afya kama vile Kairuki hospital n.k n.k ni vya wabara.
Viwanda vya madawa kama Kairuki pharmaceuticals ni vya wabara.
Nenda Mbezi makabe,Kimara,Mbezi beach,Mbweni,Ununio,Kinondoni ,Sinza jiulize kule utakuta kina nani wamejazana kama sio kanda ya ziwa na Kaskazini.
Madaktari wengi bingwa ni wa wapi!?
Punguza shibe ya biryani
 
Sasa vikindu si ni mchanga mtupu pale
Umeitembea vikindu mzee yote!?
Acha utani braza hujatembea wewe.
Kuna vikindu moja kuna njia ukiunga nayo unatoka Mwasonga huku Kigamboni.
Kapatizame
 
Umeitembea vikindu mzee yote!?
Acha utani braza hujatembea wewe.
Kuna vikindu moja kuna njia ukiunga nayo unatoka Mwasonga huku Kigamboni.
Kapatizame
Vikindu mchanga kuanzia hapo stand,vianzi,changanyikeni,marogolo,tundwi songani nk,udongo mzuri uko bondeni mtoni,upande wa magharibi vikindu nako mchanga tupu
 
Shule kongwe ya kwanza ipo wapi?

Watu wa kwanza kusoma wakina nan ,kamuulize babu yako walimu wa kwanza kuwafundisha kiswahili wanatokea wapi?

Mpaka leo hamjui hata kiswahili ,kuoga na mambo ya kijamii zero.

Pwani hamna washamba .
Huwenda hata nilichozungumza hujanielewa.
Kati ya Pwani na bara na kaskazini wapi kuna shule nyingi kongwe!?
Zingatia hilo suala.
Pia wapi kuna uemko wa elimu na shule zilianza kujengwa kwa wingi wapi!?
Kwahiyo kuwa na mtu wa kwanza kusoma ndio kusema inaleta impact ya jamii kuwa na wasomi wengi!?
Fuatilia hata matokeo ya Necta ni wapi huongoza kimatokeo.
Dar yenyewe inabebwa kwasababu ni financial capital.
Halafu usijisahau Tanzania baada ya Dar es salaam mji wa pili kwa maendeleo ya miundombinu na huduma za kijamii ni Mwanza.
Je Mwanza ni wapi!?
Na sasa hivi mkoa wa Katavi unapiga hatua kimaendeleo kuliko hata Tanga.
Au we hautembei!?
Kuna mkoa kanda ya Pwani ukitoa Dar unaufikia Mwanza!??
Kama upo nitajie.
 
Naanza kukuona umeshiba biryani unaropoka braza
Pia huwenda hujui mgawanyo wa kiuchumi mzee.
Wa Asia unaowazungumzia wewe wamejikita katika biashara za viwanda vya vyakula,biashara za kati kama uuzaji spea n.k n.k.
Mashule mengi ya wabara hapa Dar na Pwani,Vyuo kama Padre pio,St.David,Tumaini,Kairuki,Kam,Kiccohas n.k n.k ni vya wabara mzee.
Hospitali na vituo vingi vya afya kama vile Kairuki hospital n.k n.k ni vya wabara.
Viwanda vya madawa kama Kairuki pharmaceuticals ni vya wabara.
Nenda Mbezi makabe,Kimara,Mbezi beach,Mbweni,Ununio,Kinondoni ,Sinza jiulize kule utakuta kina nani wamejazana kama sio kanda ya ziwa na Kaskazini.
Madaktari wengi bingwa ni wa wapi!?
Punguza shibe ya biryani
😁😁😁Jamaa vip wwe, hizo biashara unalazimisha na mmekuja kutafta riziki na umaskini wenu..

Unaongelea pharmacy wakati wahudumu wengi ni watu pwani ,😁😁😁hamna ukarimu wengi mnashinda bar na kujiuza maarufu kama wahay hapa Dar.

Vyuo ulivyotaja hakuna kikuu vyote ni utapeli vya degree za mchongo ,siwezi kusoma huo ujinga wenu vyuo havina sup wala disco ... Miradi ya kitapeli hizo ni institutions ndogo ndogo tena ni utapeli shenzi.

Rudini kwenu ndio maana Zanzibar mnachapwa kenge ,mbona hatuji kwenu? uone mlivyokuwa na shobo..kama nyie mna uwezo fanya mikoa yenu iwe kama majiji makubwa zaidi ya wizi..

Takwimu za matukio ya kikatili mnaongoza wachafu ,hamna elimu ya kujitambua hata wasomi wa kwanza wanatokea mikao ya pwani sio washamba wa kuanika wala kujisifu.

Uhuru harakati huku zinapiganiwa nyie mnakunya vichakani hata kuvaa nguo bado😅😅Nchi imeshikwa na watu pwan ndio wanapanga nan awe rais nyie kaeni kwa kutulia na utapeli wenu.

Wajinga nyie tulikuwa tunaishi bila ya wizi mpaka mlipokuja , shenzi kabisa hatuwapendi wezi wakubwa.

Ukatili kwenda mbele

View: https://www.facebook.com/100064269896228/posts/pfbid0BxcYW6rg328tPsTVGXqs7UwxxC6vyPHgAXpmHha1ys2DrJHnyQh395bHNW29ywTel/
 
Back
Top Bottom