Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

Lakini ukubali kua mzaliwa wa kwanza wa familia nzma ya kwao na mbeba majukumu yote hata yanayonuhusu baba yake
 
Kuna ukweli hapa
 
Usiombe ukawa na first born alietoka familia choka mbaya,utaibeba dunia na first born wako

Vilast born ni vizur tatzo vinapenda kudeka sana na kusema kila kitu kwa mama ake au dada zake
 
wanaume dhaifu mnajificha kwenye kivuli cha kutafuta excuses kwa wanawake

technically wanawake wote ni sawa ina depends kukutana na mwanaume strong kiasi gani
strong, kivp yaan?
 

80% ✔️
 
KATAA NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…