Kwa sisi ambao huwa tunafanyia kazi ndani , jamii inatutafsiri tofauti sana

Sawa na mimi naitaka hiyo
 
Sema mm ni winga unaipaka rangi eti mtu wa Masoko.
 
Sawa na mimi naitaka hiyo
Mkuu hizi kazi zinapatikana online na si kwamba zinakuwepo muda wote ni kwamba inapaswa uwe mtu wa kukaa unacheki ukiipata unaweza kukuta unaipia miezi sita au mwaka au kama ni kampuni kwa mfano ya hizi voice over za online lessons unakuta unaipiga hata mwaka au miaka kila mwezi unavutia dollar kadhaa. Unaweza vuta kati ya dollar 500-5000+ kwa mwez kutegemea una kazi ngapi, rate wanayolipa, mzigo wanakushushia.
 
Wanahitaji uwape kianzio ama
 
Wabongo wengi wanaamini mpaka utoke ndani ndio upate hela amkeni dunia ishabadilika sana hapo hapo ndaji unaweza fanya kitu ukaishi na kuongezeka.
 
Kweli ukitulia home unapata na muda wร  mbususu!
Wuke d kama hii unatakiwa mwanawane unchat na warembonu awakarinisha nyumba hapo full kiyoyoz, friedge imeja masavvanah nyama choma unaagiza wanaleta kinachobaki ninkugoga 3some tuu maisha murwaaaaa.
Mie mambo ya kukesha bar siyawezi
 
Naona kuna mtu aliwa timing ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†kila la kheri mkuu ukifanikiwa utuletee mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ