Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Sawa na mimi naitaka hiyoUnakuwa unapitia response za chat bot unazirekebisha au kuzpolish ziwe bora zaidi au unaangalia kama imevunja kanuni ilizowekewa kwa kuwa tricked na mtumiaji. Mfano mtumiaji kuitrick chatgpt imweleze jinsi ya kutengeneza bomu kwa kutumia vifaa vya nyumbani, akiuliza directly inaweza isijibu lakini akaitrick.