Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

Una interest naye ndiyo maana unamtetea. Jamaa ni mouvu kuliko wala usilete blah blah za Vasco Da Gama. Mwache avune alichokipanda.

Sent from my N20 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kipindi cha siku tatu sasa, Naona nyuzi nyingi zikim "hiyena hiyena" huyu sabaya.

Miandiko inafanana.
 
Karibu Arusha usikie ujambazi anaofanya Sabaya ,tembelea Hotel zote kubwa za jijini hapa uone "kijana" wako alivyo acha maumivu ya kutumia bila kulipa
Mwishowe ukimuona mwanamuziki Nandy muulize siku aliyolala hoteli moja Hai kijana wako alivyo taka kumfanyia bila mafanikio
Rejea magazeti ya Raia Mwema kupata habari kamili
 
Kwa kipindi cha siku tatu sasa, Naona nyuzi nyingi zikim "hiyena hiyena" huyu sabaya.

Miandiko inafanana.
 
Ni zamu ya Sabaya kwenda kulawitiwa kama alivyowalawiti wenzake
 
Acheni uchunguzi ufanywe na ukimalizika ,hapo ndipo ukweli utakapodhihirika. Wananchi tuwe na subira!
 
Ukiitafuta heshima kwa bei ya juu, utaambulia dharau kwa bei nafuu.

Aliyechaguliwa kwa nguvu ya umma dhidi ya aliyeteuliwa kwa utashi wa mamlaka ya mteuzi ni watu wawili tofauti, hawana hadhi sawa kiushawishi.
 
Wewe ni Sabaya au amekutuma? Je ukiambiwa kuwa Sabaya ni tope na mashonde utasemaje? Go tell it to the birds and boobs.
 
unaweza ukafikir mtu hayupo sawa kumbe c kweli ....

mambo yenu nawaachia wenyeweee....🙌
 
Hio nyota yake isubirie mwendazake afufuke ndo itang'aaa
 
Onyelile sana ..pingu
 
Upumbavu kipaji Kisongo on the way...
 
Lijambazi sana ,na bado mungu sio mwanadam,wengine mda wao unakaribia dunia sio yetu tenda yaliyo mema
Well said. Our eyes were opened, and they'll keep open forever. Thanks for brave people like you who are willing to stand for truth even if it isn't politically correct and unpalatable to some.
 
Sijui na sijaelewa ni kwanini umehusisha Rais mstaafu na rafiki yako Sabaya!

All in all, andiko lako halina mashiko ya kumsafisha Sabaya. Huna evidence hata moja kwamba hakufanya anachotuhumiwa. Subiri mpaka TAKUKURU wamalize kumhoji ili tusujue kama ana kesi ya kujibu ama la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…