Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

wayahudi wamewaaingiza nyinyi mkenge kuwa huyo ndiyo mungu wenu, na nyinyi mpo tu mnamuabudu myahudi feki.
kuhusu kuingizwa mkenge, wala tusiingie huko kwasababu kati ya wanadamu waliingizwa mkenge ni wewe, mood alikuingiza chaka tena la miiba na michongoma. amewadanganya na mpo mnaelekea motoni mmoja baada ya mwignine. turudi tu kwenye mada ya Gaza.
 
kuhusu kuingizwa mkenge, wala tusiingie huko kwasababu kati ya wanadamu waliingizwa mkenge ni wewe, mood alikuingiza chaka tena la miiba na michongoma. amewadanganya na mpo mnaelekea motoni mmoja baada ya mwignine. turudi tu kwenye mada ya Gaza.
Mimi siabidi myahudi feki, kumbuka hilo. Wewe unaabudu mtu ambae haujuwi ukristo ni nini. Majanga.

Utabisha kwa kubishana kijinga tu, lakini siyo kuwa huelewi ni nini nnachokueleza.
 
Bora ungekaa kimya tu kuliko huu upumbavu ulioandika.. Hakuna jamii inayoongozwa na waislam waje kutawala hii dunia Never Never.
 
Bora ungekaa kimya tu kuliko huu upumbavu ulioandika.. Hakuna jamii inayoongozwa na waislam waje kutawala hii dunia Never Never.
Hapo hata sikuelewi unasema nini.

Soma kijana, kila unaxhokikuta na kila usichokijuwa kitafute ukisome. Labda upeo wako utapanuka utaanza kuleta mijadala ya kiakili kidogo.
 
kuhusu kuingizwa mkenge, wala tusiingie huko kwasababu kati ya wanadamu waliingizwa mkenge ni wewe, mood alikuingiza chaka tena la miiba na michongoma. amewadanganya na mpo mnaelekea motoni mmoja baada ya mwignine. turudi tu kwenye mada ya Gaza.
Uislam mwema sana, tazama QAur'an inavyonifundisha kuhusu wewe:

Qur'an 5:74.
Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu. 74


75. Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa. 75


76. Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala kukufaeni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 76
 
anaposema, "masihi" yani Yesu, si chochote ila ni mtume, ndio tofauti kati yangu mimi na wewe na huu ndio uongo ambao tunasena mood aliuleta duniani. Uungu wa Yesu kwa namna alivyofanyika mwili (alivaa mwili) umetabiriwa tangu kitabu cha Isaya kilichoandika mamia ya miaka kabla mohamed hajazaliwa. yeye alipokuja, kwasababu alikuwa kizazi kilichotokana na mtoto wa kambo (ishmael) akawa anapotosha moja baada ya jingine ya kwenye Biblia. lakini cha ajabu, the Bible has been there years, na imetunzwa for years na kwa lugha ileile ya kiyahudi ambayo wayahudi wa sasa wanasoma Torah (yaano torati) ambayo ipo in the same na Agano la kale la kwenye Biblia. hakijabadilika kitu chochote kwenye Torah.

na ndani ya Torah kuna kitabu cha Nabii Isaya 53 ambacho kimetabiri kila kitu kuhusu maisha na wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. hicho ndicho mnachokikosa kwasababu mnamkataa yule aliyevaa mwili wa mwanadamu ili azibebe dhambi za mwanadamu, na hiki ndicho kinachomfanya mtume wenu awe motoni akiwapokea hata ninyi mnapoenda huko siku baada ya siku.
 
mchango wako si unatowa kwa ajili mungu wako ni myahudi? Hao wayahudi wenyewe hawamtambui kabisa.
Una shida gani kichwani, kuna sehemu nimesema Mungu wangu ni Myahudi?
 

Wee unachekesha!
Nikuulize!; Hivi Yahudi Akiamua Asiingie Gaza Ilaha awakomeshe HAO magaidi Kwa kuendeleza kuweka Siege tu!; Humo mwenye mashimo magaidi wataishije??
Huyo panya buku ambaye ni mzoefu WA mashimoni inamlazimu kutoka shimoni ili apate, Chakula, Chakunywa, mwanga....!
Hiyo c&p uliyo okota wapeleke muma Wenzio Kama ww wakuzawadie takbirr😳😜

Wee unachekesha
 
Kelele kwasababu badala ya kupiga kambi za hamas, mnapiga raia wanawake na watoto alafu mnajiita jeshi bora duniani
Kwani nyie hamas mlivyolianzisha mlipiga kambi za Jeshi. Si mlipiga raia? Halafu uhai wa mtu unathamani ileile machoni pa MUNGU, awe mtoto, kijana, mwanamke, mwanaume, mzee. Wote ni binadamu walioumbwa na MUNGU, hawatakiwi kuuliwa bila,sababu.
 
Sasa kijana "masihi" si ndiyo Christ"?

Wewe unafikiri maana yake ni nini?
 
Sasa kijana "masihi" si ndiyo Christ"?

Wewe unafikiri maana yake ni nini?
ndio maana yake, ninyi mmemkataa Yesu Kristo (masihi Yesu), nini hujaelewa hapo ajuza?

halafu ajuza, nimeshagundua ninyi na jihad wenzio ni waoga sana, mnatutishaga tu kwamba mtajilipua au mtapigana jihad, kama mnapiganaga hizo na kama ninyi ni mashujaa, nendeni mkapigane jihad kule Israel, mbona mnakimbia na kujificha badala ya kupigana jihad dhidi ya myahudi? si mnajua myahudi hanaga utani na ninyi, anafyeka tu. hao al shabab, isis na boko haram si waende wakapigane israel pale tuone manguvu yao au kazi yao nikuonea raia wasio na silaha huku mtaani na kututishatisha? aibu yenu.
 
Maana ya neno "masihi" unaifahamu, maana sisi Waislam hatujawahi kumkataa Yesu, labda ulikuwa huelewi, Muislam ambae hamkubali Yesu basi huyo siyo Muislam.

Waliomkataa ni wayahudi, hawamkubali kabisa tena wala hawaujui ukristo ni nini kama ulivyoiona clip hiyo juu.

Kumbe hauuelewi Uislm kijana. Ina bidi uisome Qur'an, utaelewa jindi Uidlam unavyomkubali Yesu na mama'ke.
 
Neno Masihi maana yake ni Kriso, na kwa lugha nyingine ni "mpaka mafuta na Mungu", the annoited. ninyi mmemkataa Kristo kwasababu hata aya uliyoweka hapo juu imesema mnamwona si chochote, ni mtume tu. pia, mood alileta uongo mmoja, badala ya kutaja Jina la Yesu, kwasababu lina nguvu akaona atawaka moto, akasema "isa bin mariam" ili kupunguza makali. ajabu yake sana, Yesu Kristo na Issa Bin Mariam ni watu wawili tofauti, mmoja ni real Christ, na mwingine ni fiction tu. Isa bin mariam ni fiction, has never existed, wakati Yesu Kristo ni real. nasema hivi kwasababu, leo hii ukitaja Jina la Yesu Kristo hata mashetani unayofuga Faiza yanakimbia, ila kila siku isa bin mariam anatajwa huko kwenu na hakuna hata pepo anayekimbia kwasababu ni fiction tu ambayo shetani aliiunda kukwepa makali ya JIna la Yesu.

kama hujui, hapa duniani hakuna JIna jingine tulilopewa sisi wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo, ila Jina la Yesu Kristo tu. Jina la Yesu Kristo ndio jina pekee tumepewa ili tuokoke na tumshinde shetani. kwa JIna la Yesu Kristo kila goti litapiga wa vitu vilivyoko duniani, mbingunu na chini ya nchi na kila ulimi lazima ukiri ya kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi wa ulimwengu. ona namna Jina hili lilivyo la kipekee, very unique hata waovu walipojaribu kulipaka majivu kwa fiction ya Jina la Isa bin mariam, imebuma kwao. ndani ya lile Jina halisi ndiko kwenye Nguvu, ndiko kwenye wokovu, ndiko kwenye uponyaji na ushindi. hakuna mtume au yeyote mwenye Jina la aina hiyo, hajawahi kuwepo, hayupo na hatakuja kuwepo milele, Yesu Kristo ndiye anastahili kwasababu ndiye Mungu aliyefanyika mwili ili akae kwetu na kuubeba udhaifu na dhambi zetu tupate kuokoka na ghadhabu ya Mungu iwajiayo wanadamu wote muda si mrefu. Mungu akusaidie.
 
Nyakati zinabadilika na mazingira ya vita yanabadilika, Israel inajua inafanya nini, bora kuchelewa na kufanya kazi kwa uhakika
 
Ndio wanshindwa hadi sasahivi ni story tu mara hali ya hewa visingizio vingi

Hata ingelikua wewe ingekushinda, maana maiti za watoto zimetapakaa pembezoni mwa barabara, yaani hao ndugu zenu HAMAS wanajikweza huku wamejificha ndani ya watoto kila ukipiga bomu inakua majanga.
Hapo itabidi Israel wafanye maamuzi magumu au wasitishe kabisa.
 
Hizo zote ni porojo bila mpango. Mambo ni Gaza, wanamgambo wa Hamas wanawafanya mhororoje na kubwabwaja bila mpango.

Jana Iran, Saudi Arabia, Jorda, South Afica, wote hao wametangaza kimbembe kw Myahudi.
kila jambo lina mwisho wake, mwisho wa Israel-Palestine nao utafikiwa. Time will tell.
 
Wawe au wasiwe na "sympathy" sisi tunayo "sympathy" kwa wanaoonewa ka zaidi ya miaka
Nafsi yako inajua ukweli, unaongea kishabiki!...
Wawe au wasiwe na "sympathy" sisi tunayo "sympathy" kwa wanaoonewa ka zaidi ya miaka 70 sasa.
Hii ndio aina ya jamii tuliyonayo.
Sijui ni kujikomba au kujipendekeza au ndio unafiki wenyewe?
Ningependa sana kujua mtizamo wako kuhusiana na kadhia ya jamii ya kimasai iliyotolewa Ngorongoro kuhamishiwa Msomera kwa namna ambavyo imefanyika.
Au wayajua saana ya mashariki ya kati kuliko ya hawa ndugu zetu tulio nao mtaani daily?
 
Huwa hawakomi, Gaza hadi ije kuwa kama ilivyokuwa itachukua tena kwa uchache miaka 50 mbele.
Mabovu yameivuruga balaa!.
Wakati wao (Hamas) uharibifu walioufanya kwenye vijiji vya mpakani Israel utachukua wiki 2 tu kukaa sawa.
Wayahud kwa maelfu wameuawa wewe unasema wiki 2 tu, akili zako umezificha wapi mkuu? kwa wayahud watu 1,300 tena wanajeshi kufa kwa mara moja ni janga kubwa sana. Waarabu hawaogopi kufa na wanakufa kila siku na wakifa wanafanya sherehe kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…