Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

1-0(moja kwa nunge)
 
ulikutwa na nini mkuu? mpe uzoefu wako kijana asipotee
 
Unataka Dunia isiwe sehemu salama sasa kama wanaume wote mkiwa na roho mbaya kama yako
Endapo kama angalau tu 30% ya wanaume wote duniani wangekuwa na roho kama yangu, basi wanawake wengi kama sio wote mngekuwa wastaarabu na feminine na msingekuwa toxic kiasi cha kusumbua wanaume hivi...

Nyie modern women mko so toxic sababu ya uwepo wa wanaume dhaifu kwenye hii dunia yetu ya leo.
 
Kitu kimojawapo kinachonifanya niwe nae ni wale mademu walikuwa vipanga class,! Special school wale sema ndio hvyo.,akili mingi!
Dogo vigezo vyako vya kuchagua mwanamke ni vya kipumbavu sana(no apology for my harsh language)..

Eti alikuwa kipanga class haya uo ukipanga wake umemsaidia nini sasa? Mbona ni jobless maisha yamempiga hadi akaamua kurudia matapishi yake ambayo ni wewe???๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kwanza kitendo tu cha kubeba mimba kiholela tena kwa mwanaume wa ovyo ambaye hawezi kulea huku bado hajaandaa future yake, kinamuondoa kabisa kwenye hiyo category ya wanawake wenye akili mingi...!!

Huyo mwanamke wako ni kiazi tu kama viazi wengine hata kama huko chuoni ametoka na liGPA likubwa... sema wewe unampa sifa zote sababu hapo ulipo akili yako haifanyi kazi bali unatumia hisia kwenye kila jambo linalomuhusu yeye.
 
Wala siyo kweli bado wanawake wastaarabu na watulivu tupo usijumuishe wote
 
USHAURI
Mpe mtaji afanye biashara itakayomfanya aweze kuendesha maisha.wewe tafuta mke wa kuoa.sasa hivi huyo ataolewa na wewe bila ridhaa yake ila kwa sababu ya kutafuta kujikimu.tafuta mwanamke huru anayejielewa.mimi sipendagi mtu kumuoa mke kwa sababu anashida.anaweza kugeuzwa mtumwa wako
 
Mtoto wa kiume hakuna mechi huku duniani inayoanza na matokeo ya 1:0, labda kama ni hatua ya mtoano na ni mechi ya marudio.
 
Sema na moyo wako hili suala ni maisha yako kama unaona anakufaa it's OK kama unaona unastaki achana nae
 
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Umenena vyema kiongoz wang..........Nina ushuhuda wa wazi kabsa.......niliwaza TU huyu tulietaka kumuoa akaamua kufanya UZINZI Kwa mtu aliyemdhalilisha mwanzo na kumtelekeza.......niseme ukweli SINGLE MOTHERS SIO WATU WA KUWAONEA HURUMA KWA KUWAOA.............Bora awe kipoozeo TU hata Kwa kumhonga GARI lkn sio kuwa wife material.....
 
Kaa chini shirikisha akili yako roho na mifupa vyema acha kuomba ushauri kwa vitu vya kijinga kama hivyo..
Maana kama umesoma nyuzi nyingi za single maza najua umeng'amua mengi kuhusu hiyo angle sio lazima tukushikie kidebe maana baadhi ya watu hujifunza kwa kuona sio kwa kusikia.
Unamleta kwako akiwa na mtoto wake je ukifa wiki tatu baada ya kuanza kuishi nae nani atarithi hizo mali zako si ni hiyo familia yake?
Anakuambia kuwa baba mtoto anachangia kidogo?
Hii ni akili ndogo ambazo single mamaz ambao hawapo tayari kufanya kazi kujitafutia kipato chao huzitumia ili kuwin maisha kwa wanaume wengine..

Iko hivi wadada hupenda sana kuchuma sana wasipopanda hata mbegu moja.
Akikuambia kuwa anahudumiwa effectively maana yake kwako hatopata kikubwa. Wanawake ni mafara sana lakini sio katika kiwango hicho ubachokiwaza wewe hapo.
Yaani hapo umetuonyesha wazi kuwa huyo mwanamke ameshakupita uwezo wa kufikiri na kutazama mambo kwa upana.
Ndio maana ametoka chuo na mtoto wa mtu mwingine na sio wewe lakini bado wewe ukaendelea kumpa kipaumbele katika maisha yako sijui kwanini unawaza kwenda Magharibi wakati dunia inaenda Mashariki.
Hapo wewe umeangalia mafanikio kiduchu uliyoyapata kama kigezo cha kumhold huyo malaya.
Yaani kama uneamua kumtumia kujifunza mitindo mbali mbali ya sex ni sawa lakini kama unadhani unafanya nae maisha ni unajidanganya wazi.
Kwanini in the first place hakubeba mimba yako wewe akabeba ya huyo?
Au wewe huwezi kutungisha mimba?
Sikiliza kijana bado unahitaji kuwa huru kwa muda mrefu kwanza ufurahie maisha na juhudi zako sio kuanza kung'ang'ana na majukumu ya watu ambao wote wawili wapo hai ila uvivu wa mama tu kuwa accountable juu ya makosa yake.
Mi niko pale nakucheki mwanawane,, I 've been through that shit a long time ago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ